Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

Kwa hiyo tuna hitimisha kwa kusema kuwa mwanaume yupo juu kiuwezo wa kiakili tofauti na mwanamke.
Sio hvyo ni uvivu tu wa hawa wenzetu

Lakini akiamua kupambana mwenyewe kama mwenyewe pasipo kutegemea mwanaume wanafanya mambo makubwa tu

Sema akili wanayo ila wana nature ya uvivu tu
 
Katika hali ya kawaida inaonekana mwanaume ana akili kuliko mwanaume linapokuja swala la maamuzi yanahitaji akili.
Lakini ukweli ni kwamba mwanamke ana akili kubwa kuliko mwanaume, lakini asili na mazingira ndio yanayo dumaza akili yake

Tunapo sema asili maana yake akili ya mwanamke pamoja na kuwa kubwa lakini haijawahi kiwa na matokeo chanya ya moja kwa moja.

Sehemu yoyote kumuachia mwanamke atumie akili yake kama ndio final huwa hakuna matokeo bora ya moja kwa moja.
Sasa kama wana shindwa ku delivery matokeo bora ya kimaamuzi tofauti na wanaume ki vipi sasa unasema wana akili sawa na wanaume?

Tukizingatia maana ya neno akili.
 
1.wanaume angalia duniani wagunduzi wengi wa mambo ni wanaume
2.google inasema ni wanaume
3.wanawake wamejijengea utegemezi so hawazungushi sana bongo na hiyo inakua passed down through genes ambayo imekua ikishusha uwezo wao wa kutatua mambo
Hii imekaa kitaalamu kabisa, asante mkuu.
 
Mimi kwa asili ni misogynist lakini hata kama nitapretend kinyume chake bado nitahitaji telescope kuiona akili ya mwanamke.
Ni kwamba mtaalamu kwa macho tu ya kawaida uwezo wa kiakili wa wanawake hauoni mpaka msaada wa telescope ? Duuh! Haya bwana.

Asante kwa mchango wako mkuu
 
walio oa au wanaoishi na wanawake watupe mrejesho wanawaonaje hao viumbe
 
Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;

SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?

Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Unamkumbuka Condolice rice(alikuwa state secretary wa USA),Madeline Albright (waziri USA),
Benazir Bhuto(waziri mkuu India),Hawa unaweza kuwalinganisha na Babu Tale anayetaka aitwe Dokta kwa PHD za kununua.
 
Hapana.....wanawake tunaakili kuliko wanaume, ndio maana wanaume waliambiwa Ishini nao Kwa akili
ishi nao kwa akili manaake tuwatawale,maandiko ya bible huwa yanamaana zake inahitaji ujuzi katika kuyatafasiri maandiko yake
 
tuumulize mungu aliyewaumba je kama wanawake wanaakili kuliko wanaume mbona mungu hakuteuwa mwanamke hata mmoja kuwa mtume au nabii? na wala haruhusiwi kuongoza katika ibada
 
Unamkumbuka Condolice rice(alikuwa state secretary wa USA),Madeline Albright (waziri USA),
Benazir Bhuto(waziri mkuu India),Hawa unaweza kuwalinganisha na Babu Tale anayetaka aitwe Dokta kwa PHD za kununua.
Marekani haija wahi kuwa na Rais mwanamke toka imepata uhuru , tatizo ni nini ?
 
Timotheo wa kwanza 2:11-12 inasema, “mwanamke na ajifunze katika utulivu akitii kwa kila namna. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume bali awe katika utulivu.” Katika kanisa Mungu hugawanya wajibu kwa wanaume na wanawake. Hii ni kwa sababu ya vile wanadamu walivyoumbwa (Timotheo wa kwanza 2:13) na pia kwa jinsi ile dhambi ilivyoingia duniani (Timotho wa pili 2:14). Mungu, kupitia nyaraka za Mtume Paulo akataza wanawake kuhudumu katika nyadhifa zenye kuwapa mamlaka ya kiroho juu ya wanaume. Hii inajumuisha huduma ya uchungaji, uhubiri, walimu na mamlaka ya kiroho juu ya wanaume.
 
tuumulize mungu aliyewaumba je kama wanawake wanaakili kuliko wanaume mbona mungu hakuteuwa mwanamke hata mmoja kuwa mtume au nabii? na wala haruhusiwi kuongoza katika ibada
Sawa
 
Back
Top Bottom