Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

Ningependa kuwa karibisha members wote[ wa kike kwa wa kiume ] katika hili swali.

SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume ?

Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Nani unamuuliza?
 
Akili ni nini?
Screenshot_20230209-165110.jpg
 
Ningependa kuwa karibisha members wote[ wa kike kwa wa kiume ] katika hili swali.

SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume ?

Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
mwanamke ana akili 2 wakati mwanaume ana akili 1. Haya ni matokeo ya utafiti uliofanyika nchini Uingereza na kurudiwa nchini Marekani ili kuthibitisha matokeo ya utafiti husika. Kwa hiyo kwa ujumla wanawake wana akili kuliko wanaume.
 
Wanawake ni Detail oriented, Emotional + Multitasking genius
Njemba Ni wazee wa laser beam focus ( 1 task at a time Masters )..
Na wote tuna Akili tunazidiana kwenye matumizi na maeneo machache
Anhaa sawa , sasa majibu yako kutokana na swali lilivyo uliza ni yapi ?

Karibu tena.
 
mwanamke ana akili 2 wakati mwanaume ana akili 1. Haya ni matokeo ya utafiti uliofanyika nchini Uingereza na kurudiwa nchini Marekani ili kuthibitisha matokeo ya utafiti husika. Kwa hiyo kwa ujumla wanawake wana akili kuliko wanaume.
Huo wingi wao wa akili walio nao, matumizi yao ya akili huya fanyia wapi ?
 
Back
Top Bottom