Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;

SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?

Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Kwa ujumla wanawake wana upungufu wa akili dhidi yetu. Huu si udhaifu kwao Bali ndiyo umbile lao. Japokuwa wapo wachache wenye akili kuwazidi baadhi yetu.

Sisi Wanaume tumefadhilishwa kwa Wanawake katika mambo mengi mno.

Ila ni Wanawake wawili tu ndiyo ambayo walikuwa wanakaribia umbile letu sisi Wanaume kwa akili. Mmoja kati ya Wanawake hao ni mke wa Firauni na wa pili simtaji.
 
Huwezi kulinganisha hivyo kwa sababu mpaka miaka mia moja nyuma, wanawake walikuwa hawapewi fursa ya elimu na hasa kwenye taaluma ya sayansi. Rudi nyuma enzi za akina Isac Newton je kuna mwanamke ye yote aliyekuwa mwanasayansi?

Hata vile vichache ambavyo walikuwa wakifanya enzi za akina Marie Curie basi wanaume ndiyo walichukuwa credit. Marie Curie alikataliwa kupewa nobel prize mara ya kwanza bila ya sababu maalumu.
Jambo ambalo nimeliona na ni tatizo humu ndani, ni kumjua mtu mwenye akili ni nani ?

Sayansi au kufaulu darasani au kuvumbua jambo fulani si ishara ya kuwa mtu una akili. Ukitaka kujua hilo angalia au chunguza "Definitions" zote za msamiati au "Terminologies" za Kisayansi au Kifalsafa zina uongo mwingi kuliko ukweli.

Mfano mwingine ni leo hii Wanawake mmepewa Elimu na mnapiganiwa lakini hakuna zama ambazo Wanawake wamekuwa wajinga na mazwazwa kuzidi zama hizi. Sasa Elimu hasa hizi za kimazingira (Secular) hazimfanyi mtu kuwa na akili. Labda huenda haya mambo mnayachukulia juu juu, hata hao Wanasayansi wa jinsi ya kiume hawakuwa na akili kwa maana ya kuvumbua au kugundua mambo fulani sababu hizo gunduzi zao zimejaa hujuma na uongo mtupu, soma habari za "Special Relativity" ya Albert Einstein utaona usanii na ujanja ujanja tu kwa lengo fulani.

Kwahiyo hili suala mnatakiwa mlitizame upya tena kwa makini na tafakari ya hali ya juu.

Nakomea hapa ...
 
Bila fact non sense
 
Bila fact non sense
Hili tatizo lingine, usiwe hata maana ya tamko "Facts" hujui. Tujadili kielimu siyo kichwa mchunga. Unataka facts gani zaidi ya hichi nilichokiandika hapa.

Unatakiwa ukosoe nilichokoandika na uandike kilicho sawa.

Kama una hoja tuendelee kama ni muendelezo wa utoto nashika njia.
 
Acha dharau,Yaan tuongoze nchi useme tupo sawa akili? Acha kabisa kulinganisha wanawake na vitu vya ajabu
 
Hili tatizo lingine, usiwe hata maana ya tamko "Facts" hujui. Tujadili kielimu siyo kichwa mchunga. Unataka facts gani zaidi ya hichi nilichokiandika hapa.

Unatakiwa ukosoe nilichokoandika na uandike kilicho sawa.

Kama una hoja tuendelee kama ni muendelezo wa utoto nashika njia.
Tutaamini vipi opinions zako kama hamna facts,maana hata mlevi anaweza sema opinions ulizotoa
 
Mchango wangu ni wanaume wana akili kuliko wanawake. Ndio mana hata vichwa vyao ni vikubwa. Wanaweza kumdanganya mwanamke kwa namna yoyote wakitaka.

Na ukiona mwanaume ameamua kuwa mdogo kwa mwanmke ujue hataki mambo mengi na ni mcha Mungu. Lakin akitumia akili changanya na kuwa mwovu hakika mwanamke utalia kama chura wa kihansi. [emoji134][emoji134][emoji13]

Ila shida ni wanaume wengi huwa wanaamua kuwapa wanawake akilizao wawashikie na waendelee kuzitumia. Na nadhan huwa wanasahau kuzichukua tena.

Pia wanawake wengi wameonekana genious aababu kuna wanaume nyuma. Kama si mganga ni babake ama hao propagandists wa magharibi. La sivyo hakuna mwanamke anafua dafu kwa meeen... [emoji106][emoji1][emoji112]
 
Tutaamini vipi opinions zako kama hamna facts,maana hata mlevi anaweza sema opinions ulizotoa
Huko kwenu mmefundishwa vipi kuzihakiki hoja za yule ambaye yuko dhidi yako ?

Mtafute mlevi Kisha aandike kama nilichokoandika, siyo tu mlevi hata wewe na wakubwa zako mpaka mnakufa hamuwezi kuandika hicho nilichokiandika mimi. Ndiyo maana nikakupa angalizo kama una hoja tujadili jambo kielimu. Ndiyo maana nikuuliza katika hicho hakuna facts, kama hakuna facts onyesha isiwe hata nilichokiandika hujakielewa.

Unachotakiwa hapa ni wewe kutumia mbinu ambazo huwa mnatumia (kama mnazo) kukosoa hoja ya aliye dhidi yako.
 
Wanaume wengi wana akili kuliko wanawake ila kichwa cha chini kinazidi akili na hivyo wengi wanajikuta wanatumikia wanawake.
Wengi wametoa akili zao zitumike kutimiza malengo ya mwanamke
 
Wanawake ni Detail oriented, Emotional + Multitasking genius
Njemba Ni wazee wa laser beam focus ( 1 task at a time Masters )..
Na wote tuna Akili tunazidiana kwenye matumizi na maeneo machache
You are genius [emoji122]
 
tofauti ya mwanamke na mwanaume ni viungo vya uzazi na misuli tu lakini kwa hapa juu ya ubongo tupo sawa ,ila mazingira ya watu hawa wawili walipo kuwa exposed ndio yatakayo determine umwamba katika hili nani aonekane anaakili kubwa kuliko mwezake katika nini kinacho jadiliwa kwa wakati huo
 
Wanawake wana akili sawa tu na wanaume

Lakini mara nyingi hawapendi kuzitumia,mfano ukiwa nae kwenye mahusiano ataacha kutumia zake anapenda kutumia akili za mwanaume
Kwa sababu wanaume wana inferiority complex.
Utasikia:-
  • Nani mwanaume humu ndani?
  • Unanipanda kichwani
  • mimi ndio mwanamume
  • hujui mimi ndio mumeo
  • wewe mwanamke mjuaji sana
  • sitaki ufanye hiki...nk

Ndio maana wanawake hawapendi kutumia akili zao mwishowe wanadumaa
 
Hapana.....wanawake tunaakili kuliko wanaume, ndio maana wanaume waliambiwa Ishini nao Kwa akili
Sio kweli, mwanaume ana akili kuliko mwanamke ndiomaana aliambiwa atumie akili kama siraha ambayo ndyo yenye uwezo wa kumshinda mwanamke, bila kutumia akili ni vigumu kuishi na mwanamke na ukamtawala.

Wanaume wote wana akili lkn ugumu unakuja pale baadhi ya wanaume kushindwa kutumia akili zao na kutumia hisia, ama kutumia kiwango kidogo cha akili dhidi ya mwanamke ama ktk maisha.

Mwanaume ndiye MUNGU wa dunian hiyo ni upende ama usipende haibadiri ukweli, ndiomaana hata ktk imani huwezi kumkuta nabii mwanamke na kama wapo hawazidi hata wa5, pia mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mwanaume, na huyu aliumbwa sawa na Miungu(malaika) ama akiwa na asili ya uungu na ndipo baadae alipojihisi uhitaji wa kampani akafanyiwa uzao ama tengenezo la kiumbe kipya kutoka ktk DNA zake huyo mwanaume, Roho yake na hisia zake ndipo kikaibuka kiumbe dhaifu yaani mwanamke, kiumbe kilichodanganywa na nyoka, jiulize kwann nyoka hakumfuata mwanaume direct kumdanganya na akamfuata mwanamke?

Jibu ni kuwa shetan aliogopa kumface Adamu ambaye walikuwa wote asili moja na nguvu zinazokaribiana ndiomaana akamtumia mwanamke(kiumbe wa dunian) ili atimize agenda za kumuangusha mwanaume.

Ni upumbavu na dharau kwa mwanaume kuongozwa na mwanamke, ni dharau kwa mwanaume kuzidiwa maendeleo na mwanamke, mwanamke siku zote yuko chini ya mwanaume, unapojaribu kwenda kinyume na asili ndio hayo yanayotokea migogoro ktk ndoa, nchi kuingia matatizoni sababu ya kuongozwa na mwanamke USELESS.

Mwanaume aheshimiwe milele, No Man No Lives
 
Sayansi au kufaulu darasani au kuvumbua jambo fulani si ishara ya kuwa mtu una akili. Ukitaka kujua hilo angalia au chunguza "Definitions" zote za msamiati au "Terminologies" za Kisayansi au Kifalsafa zina uongo mwingi kuliko ukweli.
kwa mawazo yako kila mtu hana akili isipokuwa wewe mwandishi.

Haya ni maoni yako yaheshimiwe.
 
kwa mawazo yako kila mtu hana akili isipokuwa wewe mwandishi.

Haya ni maoni yako yaheshimiwe.
Ungejikita katika kile nilichokiandika ingekuwa bora kwako. Hakuna sehemu niliyoashiria hivyo ndiyo maoni yangu ya kwanza niliandika vile kwamba kwa ujumla sisi Wanaume tuna akili kuwazidi nyinyi Wanawake na wapo wanawake wachache wamewazidi Wanaume.

Sasa ulitakiwa ukosoe nilichokiandika na si kuzusha kitu ambacho sijakiandika wala kuashiria hivyo katika yale niliyo yaandika.

Sasa kwa namna mnazidinkuthibitisha ya kuwa akili zenu ni ndogo kulinganisha na zetu. Hivi ndivyo mlivyo nyinyi.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom