Hapo ni Logic ( Males ) vs Imagination ( Females ).Anhaa sawa , sasa majibu yako kutokana na swali lilivyo uliza ni yapi ?
Karibu tena.
Acha ubishi usio na maana hayo ni matokeo ya utafiti. No research no right to speak.Huo wingi wao wa akili walio nao, matumizi yao ya akili huya fanyia wapi ?
Haoni kuwa hicho ni kigezo tosha cha mmoja kumzidi mwenzake ? Kwa nini mwanaume asiwe hivyo ?Wanawake wana akili sawa tu na wanaume
Lakini mara nyingi hawapendi kuzitumia,mfano ukiwa nae kwenye mahusiano ataacha kutumia zake anapenda kutumia akili za mwanaume
Bila kupiga picha itakuwaje, logic inakuja kukuingiza mkenge peupe.Huoni kama logic ndio kigezo bora cha kuonesha uwezo wa akili wa mtu ? Au wewe kwako maoni yako ni yapi ?
Karibu.
Mwanaume ukiwa hivyo mambo mengi hayataenda kumbuka hii dunia nzima inamtegemea mwanaumeHaoni kuwa hicho ni kigezo tosha cha mmoja kumzidi mwenzake ? Kwa nini mwanaume asiwe hivyo ?
1.wanaume angalia duniani wagunduzi wengi wa mambo ni wanaumeNingependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;
SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?
Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Mimi kwa asili ni misogynist lakini hata kama nitapretend kinyume chake bado nitahitaji telescope kuiona akili ya mwanamke.Karibu mkuu.
Kwa hiyo tuna hitimisha kwa kusema kuwa mwanaume yupo juu kiuwezo wa kiakili tofauti na mwanamke.Mwanaume ukiwa hivyo mambo mengi hayataenda kumbuka hii dunia nzima inamtegemea mwanaume
Baada ya mungu ni mwanaume ndo anafata,bila mwanaume hii dunia ingekuwa ya hovyo