Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;
SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?
Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Asante kwa mchango wako ndugu.Kwa ujumla wanawake wana upungufu wa akili dhidi yetu. Huu si udhaifu kwao Bali ndiyo umbile lao. Japokuwa wapo wachache wenye akili kuwazidi baadhi yetu.
Sisi Wanaume tumefadhilishwa kwa Wanawake katika mambo mengi mno.
Ila ni Wanawake wawili tu ndiyo ambayo walikuwa wanakaribia umbile letu sisi Wanaume kwa akili. Mmoja kati ya Wanawake hao ni mke wa Firauni na wa pili simtaji.
SawaMchango wangu ni wanaume wana akili kuliko wanawake. Ndio mana hata vichwa vyao ni vikubwa. Wanaweza kumdanganya mwanamke kwa namna yoyote wakitaka.
Na ukiona mwanaume ameamua kuwa mdogo kwa mwanmke ujue hataki mambo mengi na ni mcha Mungu. Lakin akitumia akili changanya na kuwa mwovu hakika mwanamke utalia kama chura wa kihansi. [emoji134][emoji134][emoji13]
Ila shida ni wanaume wengi huwa wanaamua kuwapa wanawake akilizao wawashikie na waendelee kuzitumia. Na nadhan huwa wanasahau kuzichukua tena.
Pia wanawake wengi wameonekana genious aababu kuna wanaume nyuma. Kama si mganga ni babake ama hao propagandists wa magharibi. La sivyo hakuna mwanamke anafua dafu kwa meeen... [emoji106][emoji1][emoji112]
Mazingira ki vipi ? Na ni mazingira gani ?tofauti ya mwanamke na mwanaume ni viungo vya uzazi na misuli tu lakini kwa hapa juu ya ubongo tupo sawa ,ila mazingira ya watu hawa wawili walipo kuwa exposed ndio yatakayo determine umwamba katika hili nani aonekane anaakili kubwa kuliko mwezake katika nini kinacho jadiliwa kwa wakati huo
Kati ya mwanamke na mwanaume kwako wewe mwanaume ndie mwenye inferiority complex ?Kwa sababu wanaume wana inferiority complex.
Utasikia:-
- Nani mwanaume humu ndani?
- Unanipanda kichwani
- mimi ndio mwanamume
- hujui mimi ndio mumeo
- wewe mwanamke mjuaji sana
- sitaki ufanye hiki...nk
Ndio maana wanawake hawapendi kutumia akili zao mwishowe wanadumaa
Asante kwa mchango wako mkuuNaamini mazingira pia yanaweza kushape akili ya mtu bila kujali jinsia yake,
Mazingira ya mtu aliyekulia maeneo yenye vigodoro kila siku kwa mfano hawezi kuwa na akili sawa na mtu aliyekulia mashambani huku , natolea mfano kwa Tanzania
SawaKwa uzoefu wangu wa maisha nafikiri mwanaume ana akili zaidi ya mwanamke.. kwa sababu shule nilizopita class walikua wanaongoza wanaume unakuta top 10 mwanamke mmoja tu hata maisha ya nyumbani tu majukumu akiachiwa mwanamke yatasuasua tofauti na akiachiwa mwanaume kila kitu kitakamilika kwa wakati.
Asante kwa mchango wako mdauMe naona ni fifty fifty haina cha kwamba imebase wapi. Maana kwa mfano tuangalie kwenye matokeo ya shule maybe ya darasa la 7 au kidato cha 4 au hata chuo.. unaweza kuta wanawake wamewaburuza vibaya sana wanaume.
Ila pia mimi nawajua wanaume ambao ni empty set kichwani adi unajiuliza..
Lakini pia wapo wanawake wana akili ndogo adi aibu..
Nadhani hapa issue ya kua na akili inategemea na kurithi maybe kwa wazazi!!
Ukiangalia hata darasani kama wanaume tupu wapo kwenye top ten njoo na jibu lako. Na hata maofisini uwezo wa kikazi, kuna wanaume vilaza na wavivu. So kwa imani yangu. Wapo wanaume vilaza tena haswa wanashindwa na wanawake. Janaume zima unakuta linauza kitu chake cha ndani lika bet! Af linakuja humu linakwambia mwanamke lazima aninyenyekeeNingependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;
SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?
Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.