inategemea na akili katika nini, mfano katika masuala ya kulea mtoto mwanamke ana akili nyingi ya kumsoma mtoto na kumuelewa kuliko mwanaume ila katika mambo mengine mfano ya utafutaji na kuhudumia familia mwanaume yupo vizuri zaidi sababu sio selfish in nature ingawa exceptional pia kwa pande zote zipo.Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;
SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?
Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
Sawainategemea na akili katika nini, mfano katika masuala ya kulea mtoto mwanamke ana akili nyingi ya kumsoma mtoto na kumuelewa kuliko mwanaume ila katika mambo mengine mfano ya utafutaji na kuhudumia familia mwanaume yupo vizuri zaidi sababu sio selfish in nature ingawa exceptional pia kwa pande zote zipo.
Utafiti unasema mtoto wa binadamu akiwa kati ya siku moja mpaka miaka minne amezidiwa akili na mtoto wa kuku (kifaranga).Sasa kama wana shindwa ku delivery matokeo bora ya kimaamuzi tofauti na wanaume ki vipi sasa unasema wana akili sawa na wanaume?
Tukizingatia maana ya neno akili.
Kwa hiyo akili zao wanawake hazikui ? Sawa.Utafiti unasema mtoto wa binadamu akiwa kati ya siku moja mpaka miaka minne amezidiwa akili na mtoto wa kuku (kifaranga).
Sasa mwisho wa siku ni nani anakuwa na akili kubwa kati ya kuku na binadamu haki wakiwa wadogo wanazidiana akili?
Na usikutee kuna wanaume wanazidiwa akili na vitoto vya kike vya STD 1Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali;
SWALI
Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume?
Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
uongo kusingekuwa na wanawake wengi omba omba kitendo cha kuwepo wanaume wengi wenye uelewa kipato na jambo lolte linathibitisha wanaume wapo juu angalia kuanzia elimu viongozi matajiri wanamuziki je jinsia gani wapo wengi utapata jibu watu gani wana akiliWanaume Wana akili kuliko wanawake bahati mbaya wanawake wanaweza kutumia akili zao vizuri kuliko waanaume
Kwako short and straight answer ni ipi kuhusu hili swali ukiachana na hayo maelezo uliyo toa ?Kamwe huwezi kulinganisha akili ya mwanaume na ile ya mwanamke kwa sababu wameumbwa kwa namna tofauti.
Sehemu ya ubongo wa mwanamke ambayo inafanya kazi ni tofauti na ya mwanaume. Kwa mfano, mwanamke ana uwezo wa kufanya mambo kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa mfano, anaweza kuwa anasuka sweta akiwa amembeba mtoto na hapo hapo anazungumza na mtu kwenye simu bila kukosea matundu ya kusuka ambayo anayahesabu. Pia, anaweza kuhisi jambo ambalo sio zuri litakalotokea (sixth sense). Mwanaume hana hayo.
Na mimi nimeshangaa tena vyeo vyenyewe vya kupewa kwa kuonewa hurumaKatika hivyo vyeo walivyo shikilia wana fanya nini vya akili vilivyo bora ili tuzione hizo akili zao au ndio wanapeleka nchi mlama.
Tupe mfano wa mwanamke mwenye akili kubwa kuliko mwanaume, tumia tu watu wanaojulikana, achana na macelebrities tuje kwenye sayansi na Teknolojia.Wapo wanawake wenye akili kuliko wanaume na Wapo wanaume wenye akili kuliko wanawake