kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Hili swali nilikuwa najiuliza na mimi miaka ya nyuma hapo mpaka nikaanza kujiuliza kuwa hivi mwanamke ana akili saana kuliko mwanaume au
Ila nilipata jibu kuwa ndio kuna wanawake wana akili saana kuliko wanaume
Wewe angalia matukio ya wanawake tu uko nyuma ndo na katika dunia tunaishi utajua ilo hawa viumbe wameumbwa na akili kubwa saana