Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,483
Kwa taarifa yako tanga ni mji mkongwe kuliko miji mingi nchini kwani baada ya dar ilifuata tanga.Tanga kuna barabara zilizojipanga vyema kabisa 21..
Tanga ndio jiji pekee ukiwa city center ukachepuka mita 20 tu unakutana na vijumba vilivyo choka hatari/vya udongo
Tanga ndo jiji pekee Tanzania lenye watu wavivu ila ni mafundi wa kuongea..
Tanga ndo jiji pekee ambalo mpk leo usafiri wa baiskeli unapewa nafasi kubwa..
Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kula chakula ambacho hujawahi kula popote duniani.(unazijua chapati za ngozi 7 na maharage ya kukata?)
Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kupata huduma motomoto za mapenzi na ukasahau kabisa kurudi kwenu...
Wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kuendesha pikipiki kwa uhodari duniani..
Wanawake wa Tanga wanaongoza kwa kuvaa baibui na hijabu Tanzania bara,wakarimu na wasikivu na wepesi kutoa huduma zote utakazo bila manung'uniko.
Tanga ndo jiji pekee lililopewa hadhi ya jiji lakini halikidhi vigezo..
Tanga ndo jiji pekee ambalo halina vibaka,jiji tulivu lisilo na foleni.
Vingine nisaidieni.....!!
na ukiangalia vizuri hakuna mji uliopangika vizuri kama tanga