Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

RRONDO RRONDO,my brother open up your eyes,remove those blinkers.hivi Tanzania wewe unaona ni nchi? Hebu safiri kwanza
Hebu weka vigezo vya nchi, inatakiwa nini ili iwe nchi, mbona unatia shaka, kama huko uliko hukonda kwa nauli yako.
 
Tanga kuna barabara zilizojipanga vyema kabisa 21..

Tanga ndio jiji pekee ukiwa city center ukachepuka mita 20 tu unakutana na vijumba vilivyo choka hatari/vya udongo

Tanga ndo jiji pekee Tanzania lenye watu wavivu ila ni mafundi wa kuongea..

Tanga ndo jiji pekee ambalo mpk leo usafiri wa baiskeli unapewa nafasi kubwa..

Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kula chakula ambacho hujawahi kula popote duniani.(unazijua chapati za ngozi 7 na maharage ya kukata?)

Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kupata huduma motomoto za mapenzi na ukasahau kabisa kurudi kwenu...

Wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kuendesha pikipiki kwa uhodari duniani..

Wanawake wa Tanga wanaongoza kwa kuvaa baibui na hijabu Tanzania bara,wakarimu na wasikivu na wepesi kutoa huduma zote utakazo bila manung'uniko.

Tanga ndo jiji pekee lililopewa hadhi ya jiji lakini halikidhi vigezo..

Tanga ndo jiji pekee ambalo halina vibaka,jiji tulivu lisilo na foleni.

Vingine nisaidieni.....!!
Tanga ndio jiji pekee ambalo unaweza kuoa mke bikra japo umemkuta ana mabwana zaidi ya mia,
Bikra ya mbele utaikuta ila sio ya nyuma[emoji12]
 
We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
Ni kweli viwanda vilikuwepo enzi hizo. Mmeviua kwa anasa zenu. Hata mkoloni aliimba.
 
Tanga raha sana, kuna madrid na barcelona ila sio timu. Baiskeli tulikua tuna kodi 150sh. Usiku hawali ugali ni mahamri na maharage ya sukari.
kitimoto tulikua tunakifata kule kwaminchi afu bia ni sahare karibu na kona ya kwa baba ubaya
 
Tanga kuna barabara zilizojipanga vyema kabisa 21..

Tanga ndio jiji pekee ukiwa city center ukachepuka mita 20 tu unakutana na vijumba vilivyo choka hatari/vya udongo

Tanga ndo jiji pekee Tanzania lenye watu wavivu ila ni mafundi wa kuongea..

Tanga ndo jiji pekee ambalo mpk leo usafiri wa baiskeli unapewa nafasi kubwa..

Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kula chakula ambacho hujawahi kula popote duniani.(unazijua chapati za ngozi 7 na maharage ya kukata?)

Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kupata huduma motomoto za mapenzi na ukasahau kabisa kurudi kwenu...

Wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kuendesha pikipiki kwa uhodari duniani..

Wanawake wa Tanga wanaongoza kwa kuvaa baibui na hijabu Tanzania bara,wakarimu na wasikivu na wepesi kutoa huduma zote utakazo bila manung'uniko.

Tanga ndo jiji pekee lililopewa hadhi ya jiji lakini halikidhi vigezo..

Tanga ndo jiji pekee ambalo halina vibaka,jiji tulivu lisilo na foleni.

Vingine nisaidieni.....!!
Tanzania hii ni moja kati ya miji michache sana iliyopangika vizuri, tatizo ni maendeleo yao yapo taratibu sana.
 
Tanga ni Tanga tu wazee iko gud sana shida tu ni kuwa viwanja vya kupata bia ni vichache sana kuna mdau kataja kwa baba ubaya kona ya sahare hio ndio chimbo la kulia viraji nkirudigi home, Home sweet Home Sahare
 
Back
Top Bottom