Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

mkwakwani.jpg
 
Mzee kuna sehemu hiyo inakua kwa kasi ya 4G ni kamji kapya kanaitwa magomeni aisee ni balaa,juzi nimepanda haice kwenda huko nna kabanda kangu nimeenda kukacheki kilichonikuta ndani ya haice kilisababisha safari ilikufa,ilikua hivi(true story)nikiwa ndani ya gari siti ya nyuma kabisa kuna mrembo alpandia pale road 17 akaja tukakaa wote tulipofika comercial tukabaki 2 kule nyuma wawili walishuka,yule binti akaniuliza kaka mbona unachezesha sana miguu?nikamwambia ni kawaida yangu tu huwa napenda tu,akaniambia no sema tu ukweli,niamwambia mbona mi nshazoea,kakaniambia kama sisemi ukweli basi nitulie tulii,nikatulia nikashangaa mkono unapenyezwa taratibu mpaka kiunoni aisee niliganda kama nimepigwa shot,kuona vile kakaniuliza mbona umezubaa?nikaona hii ishakua tabu palepale nikakaambia tushuke nikaona katikisa kichwa kwa ishara ya kukubali,palepale nikamwambia konda shusha hapohapo sikumbuki ilikua kituo gani,nikachukua boda fasta,usiniulize tulienda kufanya nini.
Haujashuka majengo? Au kona ya mbuga? Pana gesti mitaa ile hadi magomeni maskani one.
 
Nilikwenda Tanga kwa mara ya kwanza mwaka juzi. Nilifaidi sana.
 
We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
Kwani mtoa mada kakosea mini hapo? Labda utueleze ni kwanini Mwl Nyerere aliamua kiviua viwanda ambavyo serikali yake (ya CCM) ilivijenga? Sometimes jaribu Ku comment bila hurka na jazba.
 
Ni kweli wakati nchi hii inapata uhuru 1961,tanga ilikuwa ya pili kwa umaarufu na utajiri Tanzania! Zao la mkonge na viwanda viliinua mkoa sana ilianza kuporomoka kutokana na sera mbovu za kisiasa
 
Wewe ndio nguvumalii na pia mikanjuni raskazoni nilikuwa tanga tv karibu na fire this is nice tunakuwa tunaenda kula police mess.
 
moshi inazidiwa na kahama? duh!
unataka kufananisha moshi na tanga?hiyo moshi yako hata kahama haifikii ndo itakua tanga?unajua vigezo vya sehemu kupewa hadhi ya kua jiji?rudi shule elimu inatolewa bure siku hizi.
 
kwa nn umetoka nyerere ukarukia mkapa na si mwinyi? na sasa utamruka kikwete useme ni magufuli, ww una jambo jingine si bure
We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
 
kwa kifupi nyie watu wa tanga ni wavivu sana, hamfanyikazi tangu enzi za mkolon walikuwa wanatafutwa wafanyakazi wa mashambani toka kigoma, tabora na mikoa ya kusini. sasa mtaendeleaje kwa stail ya kukaa vijiweni kucheza bao mchana kutwa? mm nimekaa tanga miaka 5 hunidanganyi kitu kuhusu tanga, ni wavivu mnooo, biashara zote kubwa mmewaachia waarabu na q

daaa kaka unauchungu na tanga kishezi. hajui kuwa tanga school ndio shule ya kwanza tz, na baada ya hapo ukapewa kisogo kabisaaaaa, uzuri wa tanga watu wake hawapendi kupiga kelele za njaa kama huko wanakokula viwavi jeshi, tanga hakuna sehemu kuna mahindi ya dharura eti kuna njaa. tanga watu hawakatani mapanga na kupigana mikuki ndio maana serikali ikaona haina haja yakuisaidia. wameitenga tanga, sasa watangatanga na kuinanga nanga, huku si kama kule hakuna majanga

Mkuu, ulipiga Pale TTS nini?
 
hahaha mkuu we noma huonjeshwi story?anyway hapa ndo ulaya ya bongo hebu shukia hapo kwa minchi chukua boda akupeleke macarios hotel ukapewe pole ya safari then jion leo usihangaike saana nenda pale halton usipopapenda ncheki nikuelekeze mdau,karibu lavidav city.
Duh,kwa minchiiiiiiiii
Nimeshuka sana hapo kama napaonaaaaaa
 
Si kweli watu wa tanga hawafanyi kazi! Tena uwatake radhi.we ndio unaejua kufanya kazi una nini?
 
kwa kifupi nyie watu wa tanga ni wavivu sana, hamfanyikazi tangu enzi za mkolon walikuwa wanatafutwa wafanyakazi wa mashambani toka kigoma, tabora na mikoa ya kusini. sasa mtaendeleaje kwa stail ya kukaa vijiweni kucheza bao mchana kutwa? mm nimekaa tanga miaka 5 hunidanganyi kitu kuhusu tanga, ni wavivu mnooo, biashara zote kubwa mmewaachia waarabu na q
Walikuja kuomba kwako,ndio ukajuwa hawafanyikazi?Hakuna ombaomba wenyeji wa Tanga,zunguka Tanzania nzima,huwezi pata ombaomba mwenyeji wa Tanga.Hata ombaomba waliopo Tanga ni wageni wa mkoa huu,sio wenyeji.
 
Nililala pale mkonge hotel nikaamua kwenda kula uswazi kuna dada alinichangamkia nikamwomba simu yake nikamwandikia namba yangu baadae akanitafuta

Duuuuuu kiuno kilipambwa kwa shanga

Nilimtafuna kumbe mke wa mtu bana

Hii stor ni ndefu nitaitengenezea uzi
Tunausubiri huo uzi mkuu,tafadhali nitaarifu ukitoka
 
mzee mbona maeneo ni mengi sana,huko sahare nazijua sehem kama 6 za kukata kilaji,ukija mikanjuni ndio usiseme kunaongozwa na mofimu A na B,donge napo si hapa,ukija road no sasa huko ndo usiseme anzia pale africana,njoo kwenye jengo la ccm kwa nyuma,twende road 16&17 chimbo za kilaji zipo,tembea mzeee hapo nimekuonjesha tu.
Kuna chimbo lipo sabasaba pale
 
Back
Top Bottom