Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

kwa kifupi nyie watu wa tanga ni wavivu sana, hamfanyikazi tangu enzi za mkolon walikuwa wanatafutwa wafanyakazi wa mashambani toka kigoma, tabora na mikoa ya kusini. sasa mtaendeleaje kwa stail ya kukaa vijiweni kucheza bao mchana kutwa? mm nimekaa tanga miaka 5 hunidanganyi kitu kuhusu tanga, ni wavivu mnooo, biashara zote kubwa mmewaachia waarabu na q
Kwa namna ulivyo mweupe sipotezi nguvu zangu kukupa elimu
 
Kwaminchi - round about ya 1 ukiingia Tanga
Chumbageni ktkt flani
Chuda - lodge + kota za reli
Tangamano - mnada/mikutano
Ngamiani
Sabasaba
Mabanda ya papa
Bombo area
Makorora - Tanga yenyewe
Rascazone - uzunguni
Sahare - semi-uzunguni
Kwanjeka - uhuni
Donge -
Mikanjuni - rami mpya
Duga - njipanda mikanjuni
Magomeni - uswahilini
Gofu - viwandani
....
.....
......
 
Kwaminchi - round about ya 1 ukiingia Tanga
Chumbageni ktkt flani
Chuda - lodge + kota za reli
Tangamano - mnada/mikutano
Ngamiani
Sabasaba
Mabanda ya papa
Bombo area
Makorora - Tanga yenyewe
Rascazone - uzunguni
Sahare - semi-uzunguni
Kwanjeka - uhuni
Donge -
Mikanjuni - rami mpya
Duga - njipanda mikanjuni
Magomeni - uswahilini
Gofu - viwandani
....
.....
......
... Kange nimeishi
 
We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
Amin inshaallah ,,Na ndo Dua yetu wana Tanga ,,,Kuiyombea irudi Kama hapo mwanzo
 
Back
Top Bottom