Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Tanga kuna barabara zilizojipanga vyema kabisa 21..
Tanga ndio jiji pekee ukiwa city center ukachepuka mita 20 tu unakutana na vijumba vilivyo choka hatari/vya udongo
Tanga ndo jiji pekee Tanzania lenye watu wavivu ila ni mafundi wa kuongea..
Tanga ndo jiji pekee lenye watu mafundi wa kuongea kiswahili kitamu kilicho nyooka (sio km wale wenzetu wa kule anakotoka baba nanihii). walah ukipata mdada wa kitanga halafu akiwa anaongea kiswahili utatamani usiondoke jinsi anavyo sound gudi.
Tanga ndo jiji pekee ambalo mpk leo usafiri wa baiskeli unapewa nafasi kubwa..
Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kula chakula ambacho hujawahi kula popote duniani.(unazijua chapati za ngozi 7 na maharage ya kukata?)
Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kupata huduma motomoto za mapenzi na ukasahau kabisa kurudi kwenu...
Wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kuendesha pikipiki kwa uhodari duniani..
Wanawake wa Tanga wanaongoza kwa kuvaa baibui na hijabu Tanzania bara,wakarimu na wasikivu na wepesi kutoa huduma zote utakazo bila manung'uniko.
Tanga ndo jiji pekee lililopewa hadhi ya jiji lakini halikidhi vigezo..
Tanga ndo jiji pekee ambalo halina vibaka,jiji tulivu lisilo na foleni.
TANGA RAHA......!!
Vingine nisaidieni.....!!