trem
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 340
- 204
Wanatisha sana vp ukichepuka huko watakuloga hadi unakuwa (fx)lessSio nuksi ndio hali halisi nimekaa karibu miaka miaka nane tanga kwa hio uniambii kitu juu Tanga
Wanatisha sana vp ukichepuka huko watakuloga hadi unakuwa (fx)lessSio nuksi ndio hali halisi nimekaa karibu miaka miaka nane tanga kwa hio uniambii kitu juu Tanga
Vipi chumbageni[emoji2] maravya kwanza kufika tanga ndio nilikutana na hilo jina.Daaah!!! Nmekumbuka mtaani kwangu 16 jirani na mahabusu ya watoto
Wala hawana mda wa kuroga, mana ata wao wachepukaji wazuri sana...Wanatisha sana vp ukichepuka huko watakuloga hadi unakuwa (fx)less
lakasa chika habar nyingne kule kuna ant stress wengi sana.....we acha mungu kawaumba....ni pesa yako tunasikiaga kuhusu lakasachika. nijuzeni zaidi kuihusu.
Samahani mkuuasante mkuu,mods wanaona raha nnavyodhalilika humu,siwalaumu wana member wenzangu hata kidogo.
Duuu mkuu kumbe wao wanatarget yao lkn c wana angalia wanaume wenye mkwanja sasa kama mimi lofa akikuloga c atapata hasaraWala hawana mda wa kuroga, mana ata wao wachepukaji wazuri sana...
Wanawaroga wanaume ili wawapende tu, yani kila ukiambiwa uitike
Wapi Chuda nilikula ugali mtam sana pale MACARIOUS HOTEL chuda. Ntarudi T.AToka nihamishwe kikazi toka jiji la TA kuja huku mikoani sasa najionea shida tu.
Nakumbuka mwenyewe jioni najilia pweza wangu na supu yake,baadae naenda pata chakula pale stendi kuu ya zamani.
Alafu ile stendi mpya ya Kange iko bomba na standard serikali ingejenga stendi kama zile katika mikoa mengine.
Tanga zilipendwa wewe, acha kutoka povu!unataka kufananisha moshi na tanga?hiyo moshi yako hata kahama haifikii ndo itakua tanga?unajua vigezo vya sehemu kupewa hadhi ya kua jiji?rudi shule elimu inatolewa bure siku hizi.
kuwa na nyumba za udongo si umaskini kuna majengo mengi nimeyaona tena mengi tangu enzi ya mkoloni bado yapo mi naona ni sehemu ya utaliii na kuhifadhi asili ya watuhujaitendea haki Tanga nitajie mita 20 ulizitembea kutoka town ukakutana na nyumba za udongo za kuchoka na je ni ipi sifa ya jiji kuitwa jiji??
Lofa unatazamwa tu, sanasana utafautiwa mwenzako wa kuhudumiaDuuu mkuu kumbe wao wanatarget yao lkn c wana angalia wanaume wenye mkwanja sasa kama mimi lofa akikuloga c atapata hasara
mkuu ulilala na jini hahahaaMzee kuna sehemu hiyo inakua kwa kasi ya 4G ni kamji kapya kanaitwa magomeni aisee ni balaa,juzi nimepanda haice kwenda huko nna kabanda kangu nimeenda kukacheki kilichonikuta ndani ya haice kilisababisha safari ilikufa,ilikua hivi(true story)nikiwa ndani ya gari siti ya nyuma kabisa kuna mrembo alpandia pale road 17 akaja tukakaa wote tulipofika comercial tukabaki 2 kule nyuma wawili walishuka,yule binti akaniuliza kaka mbona unachezesha sana miguu?nikamwambia ni kawaida yangu tu huwa napenda tu,akaniambia no sema tu ukweli,niamwambia mbona mi nshazoea,kakaniambia kama sisemi ukweli basi nitulie tulii,nikatulia nikashangaa mkono unapenyezwa taratibu mpaka kiunoni aisee niliganda kama nimepigwa shot,kuona vile kakaniuliza mbona umezubaa?nikaona hii ishakua tabu palepale nikakaambia tushuke nikaona katikisa kichwa kwa ishara ya kukubali,palepale nikamwambia konda shusha hapohapo sikumbuki ilikua kituo gani,nikachukua boda fasta,usiniulize tulienda kufanya nini.
We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
Pangani pale kuna Nyumba ipo full ni majani yaani ukuta mpaka juu ni majani, lakini ina UMEMEKwa nyumba za udongo juu nyasi bado zipo nyingi tu , ikawa kwa nje wamepiga plasta
Hio sio ajabu karibu kila mkoa nyumba hzo zipo
Nilitaka kutoa matusi makubwa sana kwa huyu MMACHINGA wa Mtwara afadhali umepunguza asira zangu...We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
Dah..huko ...nilikula chips yai nikaletewa bill ya elfu 18[emoji14]
Aysee,huo ni ukalimu wa hali ya juu Sana,heheheMzee kuna sehemu hiyo inakua kwa kasi ya 4G ni kamji kapya kanaitwa magomeni aisee ni balaa,juzi nimepanda haice kwenda huko nna kabanda kangu nimeenda kukacheki kilichonikuta ndani ya haice kilisababisha safari ilikufa,ilikua hivi(true story)nikiwa ndani ya gari siti ya nyuma kabisa kuna mrembo alpandia pale road 17 akaja tukakaa wote tulipofika comercial tukabaki 2 kule nyuma wawili walishuka,yule binti akaniuliza kaka mbona unachezesha sana miguu?nikamwambia ni kawaida yangu tu huwa napenda tu,akaniambia no sema tu ukweli,niamwambia mbona mi nshazoea,kakaniambia kama sisemi ukweli basi nitulie tulii,nikatulia nikashangaa mkono unapenyezwa taratibu mpaka kiunoni aisee niliganda kama nimepigwa shot,kuona vile kakaniuliza mbona umezubaa?nikaona hii ishakua tabu palepale nikakaambia tushuke nikaona katikisa kichwa kwa ishara ya kukubali,palepale nikamwambia konda shusha hapohapo sikumbuki ilikua kituo gani,nikachukua boda fasta,usiniulize tulienda kufanya nini.
Ni kweli viwanda vilikuwepo enzi hizo. Mmeviua kwa anasa zenu. Hata mkoloni aliimba.