Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

RRONDO RRONDO,my brother open up your eyes,remove those blinkers.hivi Tanzania wewe unaona ni nchi? Hebu safiri kwanza
Kama Tz si nchi ni nini, tuelimishe ndugu, ukianza na maana halisi ya nchi.
 
ukarimu wetu sisi ni zaid ya ukarimu,mimi kuacha kwenda kazini kwa ajili ya kukupa tafu mwanaume mwenzangu ambae ni mgeni hapa sio shida,tena ukiwa mtu wa totozi ndo unaweza kupakataa hata kwenu.
Umenigusa kwenye mtima wange,In shaAllah tukijaliwa uzima
 
Aaaah...sasa huu ulimbukeni wa kusafiri ukubwani.....na hii ndo ile 1% ya ubongo inayosemwa ..huwezi kudiriki kusema Tz sio nchi kisa umesafiri na kukutana na vitu ambavyo akili yako haijawahi kuwaza kama vipo... hilo ni tatizo lako na usituaminishe ushamba wako...watu wangapi wanatoka nchi za maana wanakuja kuishi bongo halafu kanyaboya from nowhere aje aseme sio nchi kisa kasafiri kidogo tu... hii ni aibu kwako
kweli mkuu, tena Huyo ni limbukeni, kisa eti kaenda kaona magorofa na kupanda treni za umeme anasema hii sio nchi, anafikiri nchi ni magorofa, mwambie amuulize bilgate anatoka marekani anayaacha hayo magorofa anakuja kuinvest bongo ameona nini? atakufa maskini kwa mawazo yake finyu.
 
Tanga ndio jiji pekee WANAUME WANABEBWA MGONGONI NA KUOGESHWA
 
Back
Top Bottom