Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

Watoto wa kitanga South Africa wanakwenda kwa miguu no visa no yai. Wazungu wa unga wa mwanzo kabisa walitokea Tanga, enzi hizo mtoto wa kitanga akimwagika toka huko ng'ambo basi ujue Tanga nzima watapata habari zake. Nakumbuka kuna mshkaji mmoja alimwagika Tanga toka nje akaja na baiskeli zenye gia almaaruf chopa wacha atingishe miaka hiyo maana ni yeye pekee alokuwa nayo.
 
Tanga raha sana, kuna madrid na barcelona ila sio timu. Baiskeli tulikua tuna kodi 150sh. Usiku hawali ugali ni mahamri na maharage ya sukari.
kitimoto tulikua tunakifata kule kwaminchi afu bia ni sahare karibu na kona ya kwa baba ubaya
Uko kona kwa baba ubaya panaitwa kwa Lucas.Sikh izi ni lodge tu ,bia unanywea chumbani
 
hatari sana,nilikaa mwez 1 na wiki sijagusa dem kisa jamaa yangu alilewa akajimix,akachukua choko akidhani ni demu.heheheh
Sipati picha alivyoenda chumvini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jiji la Tanga,miaka ya 70 kuendea 80,Tayari kuna majumba marefu yanayoanzia underground

wekeni picha maneno matupu haya leti uhalisia
Jiji la Tanga,lift ya kwanza iliwekwa miaka ya 1950,katika hospital ya Mkoa ya Bombo,hospital yenye eneo kubwa,iliyopitiwa na Barabara katikati,inayotengenisha chuo cha uunguzi na hospital yenyewe.

Tanga ndio jiji pekee ukiwa na baiskeli tu ukazunguka kuanzia asubuhi hadi jioni umemaliza tanga mjini yote na mitaa yake.
 
Long time sana aiseee hivi wale madem walio batizwa majina ya timu za spain like madrid nk bado wanapatikana kweli kwenye viwanja vyao?
Tawakal, mkwakwani, majestic, maeneo ya posta huku karibu na lacasa chika?
 
ha ha ha ha unazijua baskeli za sehewa wewe?
 
Back
Top Bottom