Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

RRONDO RRONDO,my brother open up your eyes,remove those blinkers.hivi Tanzania wewe unaona ni nchi? Hebu safiri kwanza
Aaaah...sasa huu ulimbukeni wa kusafiri ukubwani.....na hii ndo ile 1% ya ubongo inayosemwa ..huwezi kudiriki kusema Tz sio nchi kisa umesafiri na kukutana na vitu ambavyo akili yako haijawahi kuwaza kama vipo... hilo ni tatizo lako na usituaminishe ushamba wako...watu wangapi wanatoka nchi za maana wanakuja kuishi bongo halafu kanyaboya from nowhere aje aseme sio nchi kisa kasafiri kidogo tu... hii ni aibu kwako
 
Tanga kuna barabara zilizojipanga vyema kabisa 21..

Tanga ndio jiji pekee ukiwa city center ukachepuka mita 20 tu unakutana na vijumba vilivyo choka hatari/vya udongo

Tanga ndo jiji pekee Tanzania lenye watu wavivu ila ni mafundi wa kuongea..

Tanga ndo jiji pekee ambalo mpk leo usafiri wa baiskeli unapewa nafasi kubwa..

Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kula chakula ambacho hujawahi kula popote duniani.(unazijua chapati za ngozi 7 na maharage ya kukata?)

Tanga ndo jiji pekee Tanzania unaweza kupata huduma motomoto za mapenzi na ukasahau kabisa kurudi kwenu...

Wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kuendesha pikipiki kwa uhodari duniani..

Wanawake wa Tanga wanaongoza kwa kuvaa baibui na hijabu Tanzania bara,wakarimu na wasikivu na wepesi kutoa huduma zote utakazo bila manung'uniko.

Tanga ndo jiji pekee lililopewa hadhi ya jiji lakini halikidhi vigezo..

Tanga ndo jiji pekee ambalo halina vibaka,jiji tulivu lisilo na foleni.

Vingine nisaidieni.....!!
hujaitendea haki Tanga nitajie mita 20 ulizitembea kutoka town ukakutana na nyumba za udongo za kuchoka na je ni ipi sifa ya jiji kuitwa jiji??
 
Tanga Tanga Tanga,

Kwa mara ya kwanza nililipia baiskeli kama usafiri - Tanga
Kwa mara ya kwanza nilikula Biriani - Tanga
Kwa mara ya kwanza nilihang out na totoz shombeshombe ya kiarabu - Tanga
Kwa mara ya kwanza nilikula totoz yenye asili ya kisomali - Tanga
Kwa mara ya kwanza nilipewa kutumia mtandao ambao sikuwahi kuufikiria (tena kwa kuchimbwa biti nashangaa nini...na ole wangu niseme) - Tanga
 
Tanga ni Tanga tu wazee iko gud sana shida tu ni kuwa viwanja vya kupata bia ni vichache sana kuna mdau kataja kwa baba ubaya kona ya sahare hio ndio chimbo la kulia viraji nkirudigi home, Home sweet Home Sahare
mzee mbona maeneo ni mengi sana,huko sahare nazijua sehem kama 6 za kukata kilaji,ukija mikanjuni ndio usiseme kunaongozwa na mofimu A na B,donge napo si hapa,ukija road no sasa huko ndo usiseme anzia pale africana,njoo kwenye jengo la ccm kwa nyuma,twende road 16&17 chimbo za kilaji zipo,tembea mzeee hapo nimekuonjesha tu.
 
Bibie siku nkiwa nakuja huko ntakucheki
 
Unataka nikule?aroo mkuu niheshimu kidogo basi hili tatizo la hilo watu wengi humu wanalifahamu,mods wamegoma kunifanyia marekebisho,im gentleman mzee.
Sorry mkuu ,Sema nini ntakucheki tu ili ukanioneshe hizo sites, your gender doesn't matter, am so sorry
 
Sorry mkuu ,Sema nini ntakucheki tu ili ukanioneshe hizo sites, your gender doesn't matter, am so sorry
Mia joh,ila make sure unamuaga my wife wako vizuri kama ni ruhusa usichukue si chini ya mwezi,mana raha za huku twazijua sie,asikudanganye mtu Tanga raha sana,mwanamke anaweza akakuangalia machoni tu akakuhurumia hata kama hujamtongoza hatari sana(in shekhe kipozeo voice)
 
Hahaha si mchezo aseee
 
Back
Top Bottom