Je, walijua jiji la Tanga?

Je, walijua jiji la Tanga?

Mleta uzi huu, hakuuleta kwa kuisifia Tanga, bali aliuleta kwa kashfa na udhalilishaji kwa jamii ya watu watanga, ila hakika haijui Tanga na kama alikuja kutembelea ndugu zake sijui hao ndugu wanafanya nini kwenye mji wa watu wavivu, ngoja nikudokeze kidogo kwanini bomba la gesi limeletwa Tanga, moja ya sababu kubwa ni kina cha maji Africa mashariki hakuna lililo karibu na ufukwe lenye mita nyingi kama Tanga, wakati kama cha kimataifa ni mita 18,Tanga ni mita 40, yaani hapo hatuja safisha kutoa tope na takataka nyingine, ila ni majaaliwa ya MUNGU, mkonge Tanga, karakana kubwa ya reli kanda ya kaskazini ilikuwa Tanga, mkafungua mitambo kwenda ifunga moshi. Siendelei nitalia kwa uchungu
 
Hahaha si mchezo aseee
Mzee kuna sehemu hiyo inakua kwa kasi ya 4G ni kamji kapya kanaitwa magomeni aisee ni balaa,juzi nimepanda haice kwenda huko nna kabanda kangu nimeenda kukacheki kilichonikuta ndani ya haice kilisababisha safari ilikufa,ilikua hivi(true story)nikiwa ndani ya gari siti ya nyuma kabisa kuna mrembo alpandia pale road 17 akaja tukakaa wote tulipofika comercial tukabaki 2 kule nyuma wawili walishuka,yule binti akaniuliza kaka mbona unachezesha sana miguu?nikamwambia ni kawaida yangu tu huwa napenda tu,akaniambia no sema tu ukweli,niamwambia mbona mi nshazoea,kakaniambia kama sisemi ukweli basi nitulie tulii,nikatulia nikashangaa mkono unapenyezwa taratibu mpaka kiunoni aisee niliganda kama nimepigwa shot,kuona vile kakaniuliza mbona umezubaa?nikaona hii ishakua tabu palepale nikakaambia tushuke nikaona katikisa kichwa kwa ishara ya kukubali,palepale nikamwambia konda shusha hapohapo sikumbuki ilikua kituo gani,nikachukua boda fasta,usiniulize tulienda kufanya nini.
 
lushoto ndio wilaya pekee tanzania inayopatikana mkatika mkoa huu mtukufu wa tanga ukifika lushoto utakaribishwa na mandhari kama ya mbele na hali ya hewa mujarabu kabisa....ni lushoto hii pekee ambayo inafikiaga wakat idadi ya wageni kutoka ughaibuni ni nusu kwa nusu na wasambaa wenyej.....ni eilaya hii pekee nchini ambapo kuna utitiri wa hoteli za nyota tano na mandhari ya kitalii karibuni lushoto
 
Attachments

  • 1474525482193.jpg
    1474525482193.jpg
    51.5 KB · Views: 74
Kuna kipofu mmoja alibahatika kuona kwa sekunde chache, akaona punda tu. Basi kila akisikia mtu anasema/anasifia kitu yeye anauliza tu 'kizuri/mzuri kama punda?'
Mkuu RRONDO hapa umeua,kama kaelewa harudii tena!
 
Mleta uzi huu, hakuuleta kwa kuisifia Tanga, bali aliuleta kwa kashfa na udhalilishaji kwa jamii ya watu watanga, ila hakika haijui Tanga na kama alikuja kutembelea ndugu zake sijui hao ndugu wanafanya nini kwenye mji wa watu wavivu, ngoja nikudokeze kidogo kwanini bomba la gesi limeletwa Tanga, moja ya sababu kubwa ni kina cha maji Africa mashariki hakuna lililo karibu na ufukwe lenye mita nyingi kama Tanga, wakati kama cha kimataifa ni mita 18,Tanga ni mita 40, yaani hapo hatuja safisha kutoa tope na takataka nyingine, ila ni majaaliwa ya MUNGU, mkonge Tanga, karakana kubwa ya reli kanda ya kaskazini ilikuwa Tanga, mkafungua mitambo kwenda ifunga moshi. Siendelei nitalia kwa uchungu
Ndo mana hapo juu nimewaambia ccm ndio imeua huu mkoa na kuupandisha wa dar,kama sehemu ilikua ndio kitovu cha biashara kwa tz imekuaje leo hii iwe dar?MUNGU kwa mapenzi yake anauinua tena kwa namna nyingine ona bomba hilo limeshatia nanga,kesho na keshokutwa utashangaa bandari ya Tanga ndio itakua rafiki kwa wafanyabiashara.
 
We ni miongoni mwa wanaofikiri kwa 1%, kwa taarifa yako tanga ndio mkoa uliokua mkubwa kuliko wowote ule kuwahi kutokea tanzania,ulishawahi kujiuliza tanga kuna viwanda vingapi?Tanga ni zaidi ya unavyoijua wewe,umeenda mabokweni ukadhani hiyo ndo mandhari pekee ya Tanga,nikuambie tu siri Tanga imeuliwa na ccm kupitia kina nyrere na mkap hawa ndio maadui wakubwa waliofukuza wawekezaji na kuangamiza viwanda vyetu,acha ulimbukeni next time usiropoke uulize.TANGA RAHA ipo siku itarudi kama zamani.
Wallah Tanga Nizaidi Ya Raha bali ni zaidi Maelezo yake..Bali Hakua na Haki ya Kuisimulia Tanga Kwa Uchongo wa Jicho lake
 
Mzee kuna sehemu hiyo inakua kwa kasi ya 4G ni kamji kapya kanaitwa magomeni aisee ni balaa,juzi nimepanda haice kwenda huko nna kabanda kangu nimeenda kukacheki kilichonikuta ndani ya haice kilisababisha safari ilikufa,ilikua hivi(true story)nikiwa ndani ya gari siti ya nyuma kabisa kuna mrembo alpandia pale road 17 akaja tukakaa wote tulipofika comercial tukabaki 2 kule nyuma wawili walishuka,yule binti akaniuliza kaka mbona unachezesha sana miguu?nikamwambia ni kawaida yangu tu huwa napenda tu,akaniambia no sema tu ukweli,niamwambia mbona mi nshazoea,kakaniambia kama sisemi ukweli basi nitulie tulii,nikatulia nikashangaa mkono unapenyezwa taratibu mpaka kiunoni aisee niliganda kama nimepigwa shot,kuona vile kakaniuliza mbona umezubaa?nikaona hii ishakua tabu palepale nikakaambia tushuke nikaona katikisa kichwa kwa ishara ya kukubali,palepale nikamwambia konda shusha hapohapo sikumbuki ilikua kituo gani,nikachukua boda fasta,usiniulize tulienda kufanya nini.
Hahahaaa
 
Tanga kwa ulozi ndo kwao

Maeneo kama kisosora,mwamboni,kwa minchi,na chumbageni ni hatari tupu.

Ila ni jiji tulivu sana
 
Tanga ni Tanga tu wazee iko gud sana shida tu ni kuwa viwanja vya kupata bia ni vichache sana kuna mdau kataja kwa baba ubaya kona ya sahare hio ndio chimbo la kulia viraji nkirudigi home, Home sweet Home Sahare
Mkuu unaongelea Tanga gani? Ebu nitajie mtaa mmoja usio na viwanja vya kilaji.
 
Back
Top Bottom