The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,131
- 13,775
Utakuta mtu kajichimbia zake hapo Ngabobo halafu anazuga yupo SA.Hebu weka vigezo vya nchi, inatakiwa nini ili iwe nchi, mbona unatia shaka, kama huko uliko hukonda kwa nauli yako.
Utakuta mtu kajichimbia zake hapo Ngabobo halafu anazuga yupo SA.Hebu weka vigezo vya nchi, inatakiwa nini ili iwe nchi, mbona unatia shaka, kama huko uliko hukonda kwa nauli yako.
siongezi neno we jamaa unaijua Tanga asante sana.daaa kaka unauchungu na tanga kishezi. hajui kuwa tanga school ndio shule ya kwanza tz, na baada ya hapo ukapewa kisogo kabisaaaaa, uzuri wa tanga watu wake hawapendi kupiga kelele za njaa kama huko wanakokula viwavi jeshi, tanga hakuna sehemu kuna mahindi ya dharura eti kuna njaa. tanga watu hawakatani mapanga na kupigana mikuki ndio maana serikali ikaona haina haja yakuisaidia. wameitenga tanga, sasa watangatanga na kuinanga nanga, huku si kama kule hakuna majanga
zilipendwa wakati matajiri wa total ndo wamepapenda hahahaha,nacheka kwa dharau unatamani bahari ingekua kwenu huko mwakuhenga.Tanga zilipendwa wewe, acha kutoka povu!
Ndio mkoa pekee ambao mtoto wa kike wa miaka 17 anaweza kukukaribisha kwao na ukalala apo ata siku tatu bila wasiwasi ule
Twende December mkuukama kuna jiji ambalo sijawahi kufika na ninatamani sana siku moja nifike basi ni tanga . . . wataiponda weeee ila nasikia mandhari yake ya kipwani pwani kama ilivyo zenji na bagamoyo
Mi nimeoa huko,hakuna chakula utakula kikakosa halafu nzuri au viungoNataka kuja kuoa tanga
siongezi neno we jamaa unaijua Tanga asante sana.
Kaa huko huko mkimbiz wew, unaponda nchi yako we ndo wale waleeNjoo south supermarket ndio utaona majiji.sio Tanzania maana hawajui hata maana ya neno jiji
njooni then mtafute mtu wa viwanja sio mambo ya kupelekana chichi,kuna maeneo unahudumiwa utadhani sio nchi hii.Twende December mkuu
Kwa akili yako ni nin? Kamac c nchi! Inaonyesha wew hata standard 1 hukwenda geographia huijui!!RRONDO RRONDO,my brother open up your eyes,remove those blinkers.hivi Tanzania wewe unaona ni nchi? Hebu safiri kwanza
Mkuu pata kunipa list ya hayo maeneo niko njiani kweye Ratconjooni then mtafute mtu wa viwanja sio mambo ya kupelekana chichi,kuna maeneo unahudumiwa utadhani sio nchi hii.
Watu wa Tanga hawanna unyama kama wabara, haswa wadigo ni wakarimu sana, ndo mana huwezi kusikia watu wamechinjana ovyo TangaUKIONA HIVYO UJUE HUYO NI WABARA, WAKUJA SIO MDIGO WA TANGA, UTACHINJWA KAMA KUKU
hahaha mkuu we noma huonjeshwi story?anyway hapa ndo ulaya ya bongo hebu shukia hapo kwa minchi chukua boda akupeleke macarios hotel ukapewe pole ya safari then jion leo usihangaike saana nenda pale halton usipopapenda ncheki nikuelekeze mdau,karibu lavidav city.Mkuu pata kunipa list ya hayo maeneo niko njiani kweye Ratco