Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Kumbe ushaoa. Sasa mbona una entertain kuwapiganisha wakina Lydia Ngosha na Mwafrika wa Kike? Si uachie makoloni hayo nchi zingine zisizoendelea zikatafute malighafi huko?

Duh,Hayaaa,bora mie bado! kwi kwi
 
Kumbe ushaoa. Sasa mbona una entertain kuwapiganisha wakina Lydia Ngosha na Mwafrika wa Kike? Si uachie makoloni hayo nchi zingine zisizoendelea zikatafute malighafi huko?

well koh koh.. did I say nimeoa.. not exactly.. I meant nilikuwa nampango wa kuchumbia uchaggani...kama ya usukumani hayataenda vizuri... ndio maana miye napenda makabila yote. Maana huwezi kujua nani utamdondokea (kwa lafudhi ya kisukuma)...
 
Mkuu Mwanakijiji na wengine.

Mimi naona serikali iwaagize wataalam wa mipango miji watuandikie independent report ambayo inaeleza namna mikoa yote ilivyo kiuchumi.

Report hio itaelezea social cohestion; demographics; economic competitiveness and performance; liveability, and governance and the impact of policy za serikali kuu kuhusu mikoa hio.

Baada ya hapo ndio kutapatikana namna ya kuangalia ni vipi fund allocations na economic policies zitafanya kazi yake kulingana na mapendekezo ya report hio.
 
Kumbe ushaoa. Sasa mbona una entertain kuwapiganisha wakina Lydia Ngosha na Mwafrika wa Kike? Si uachie makoloni hayo nchi zingine zisizoendelea zikatafute malighafi huko?

Mkuu ukiwashindanisha hao wawili ni khabari nyingine...obviously atakuwa anashinda mchagga hapo

ila sijui kama mkuu wetu Mwanakijiji atakuwa na tofauti na hawa wanaojiita G8! nina shaka na nia yao ya kutaka nchi nyingine 'ziendelee'
 
Mkuu,

Kwanza ahsante kwa kunikumbusha kwamba Mramba ni Mchaga.

Mimi naona "system" ya majimbo ndio suluhisho la pekee kwa matatizo ya Tanzania na umaskini utaondoka kwa haraka.

Suala hili haliwezi kutimia iwapo bado bajeti yetu itategemea wahisani na wafadhili wengine ambao hawatakuwa na say yoyote ile huko majimboni.

Hawa watu wanakuwa na "say" kwa sasa kwa sababu kuna central government na ndio yenye say kuhusu hata kodi ya viwanja ambayo ianapaswa kuendeleza majimbo hayo.

Halafu unajua kwamba hili tatizo limekomaa na bila hatua za haraka kulimulika basi tutajikuta siku moja tuna matatizo.

Mkuu Richard kwa utaratibu huu hata mimi naelekea kuamni hayo juu!
Kwani maishani mwangu sijawahi kuwa na CHUKI DHIDI YA KABILA LOLOTE LILE!
 
Kwasababu UFISADI ULIFANYWA NA MWARABU WA IRANI NA WATUMWA WAKE NA SI "WACHAGGA"
NA SASA MWARABU HUYO HUYO KATOKA MSIKITINI HADI KANISANI MARA BAADA YA MBINU A KWANZA YA KUMTUMIA WANGWE NA BAADHI YA WAKURYA KUKWAMA!
Hawa watu wanakuja nchini mwetu wakiwa wamesha isoma historia yetu!
NI WAJUMBE WA SHETANI!

Lakini mada sio Ufisadi na Waarabu na Ukristo na Wangwe na Misikiti na Wairani.

Unachanga sana ishu Mushi.

Hata kama unavyosema ni kweli, kama hakihusiani na mada unaishia kuwa incoherent.

Nahakika ni passion and commitment uliyokuwa nayo kuona nchi yako inatoka hapa precarious situtiona we're in, kwa hiyo unakuwa carried away kidogo, lakini ukikumbushwa labda usiwe unawaka kama ulivyofanya hapa. Waonaje?
 
tatizo ni kwamba kuna watu wanajali sana hadhi zao kiasi kwamba hawapendi kuudhi watu... I'm not one of them.

Well.. mimi nimetoka Ungonini nikiwa na damu ya Kinyakyusa, nimeoa Uchagani, ambako mama Mkwe ni Mhaya ambaye mama yake ni Mzaramo!

Mkuu MMJJ,
Sasa naanza kupata picha,
jinsi ulivyojua kuwepo kwa hizo chuki, fitina, wivu, visasi, ubaguzi n.k.
  1. Sasa Mkuu, kama kweli hivyo viroja vipo, unafikiri wameonewa au kunaweza kukawepo na sababu??
  2. Misingi ya hizo chuki n.k, unaweza kudadisi inakotokea kabla hatujapitisha sheria ya kuwafukuzia mbali hawa jamaa wa kichagaa ili wasiguse madaraka yoyote mpaka watakapotengeneza nchi yao??
  3. Je ile migogoro ya NCCR, TLP, na sasa CHADEMA inaweza kuhusiana na hayo uliyodokeza??
  4. Kama ndivyo, je ni coinsedence tu au ni vipi??
 
WanaJF,
MMK nashukuru kwa makala yako. Nilikujibu kule kwenye CEO WA TANROAD bila kujua kuna makala mpya. Najua lengo lako la kuandika hili ni kuwasha MOTO. Huu moto hata mie ndiyo lilikuwa lengo langu kuwa hii habari ni vema tuijadili ikibidi tuanze kufikiri nini kifanyike maana huko twendako inaweza kuwa hali mbaya. Mama kasema kuwa sasa hivi wasomi wengi Tanzania hivyo wengi kukataa kuwa akina Msuguri. Sasa wanakuta juu KUMEZIBWA. Hapa kwenye neno KUMEZIBWA kuna maana nyingi saana na chanzo chake kiko kwa walioziba na waliozibiwa. Ila ningelipenda pia kusema "form uliyotumia kuandika inaweza kuleta maana mbilimbili". Moja wapo ambayo naweza kuina haraharaka ni hii kuwa "Wachaga wakiondoka, nyie Wadanganyika mtafanya nini..?" Inanikumbusha yale maneno "mimi ndiyo njia ya kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi.." Anyway huo ni muono wangu. Na hata wakiondoka ukweli ni kwamba "Kufa hatutakufa ila Cha mtema kuni tutakiona.."
Naomba niweke ile makala yangu iliyokuwa kwenye thread nyingine....::>>>>

Hapa tatizo si WACHAGA. Kwa wengine tunajua hili ila "ukiingia kichwani kwa watu wasioona mbali kwa mbele na kwa nyuma utaona kabisa wao tatizo ni Mchaga/Mhaya..." Tatizo ni kuwa kwa nini wengine WAMEBAKI NYUMA? Wamebaki nyuma kiasi kwamba hata ungelikuwa Chenge, ukitaka kuajiri na kutafuta hizo SIFA utaona kuwa waliokuzunguka ni Wachaga/Wahaya. Nilipokuwa JKT tulikuwa tunaandikisha na dini yako/Kanisa. Mhhh, asilimia 90 ya watu JKT walikuwa WAKATOLIKI. Pia hapa ukitaka kuajiri utaona kuwa WANAOSTAHILI ni hawa Wakatoliki. Sasa tatizo ni WAKATOLIKI WANAPENDELEANA??? Hapa tatizo ni kama alilosema Jokakuu na mimi kulielezea mapema kuwa ni HISTORIA imefanya hivi. Tatizo si kuwa WACHAGA waache kazi au wasiajiriwe. Itakuwa yaleyale ya Uganda kufukuza Wahindi ingawa kuna wengine wanasema INAWASAIDIA SANA LEO. Sijui kama ni kweli au kwa sababu wana M7. Hili swala inabidi kwenda MORE DEEP na si kulichukulia juu juu. Kama ni hivyo, na mie napendekeza "Wakatoliki waache kazi na au wasiombe/wasipewe kama kwenye hicho kitengo juu yupo MKATOLIKI".
Narudia tena kuwa jamani makabila makabila mengine yako nyuma saana. Nafikiri kuna haja waliojuu kukaa na kupanga jinsi ya kubadilisha maisha ya MAKABILA yaliochini sana. Hii ifanyike kwa njia zote ziwezekanazo na HARAKA. Kwa kuwasomesha, kuwapa misaada ya maendeleo na kuhimiza hayo maendeleo na kufanya kazi kwa bidii kwa kuwaeleza umuhimu wake na ikibidi (kama hawataki) basi hata kwa VIBOKO. I wish kule kwetu aje dikteta atakeyutumia mabavu kuwatoa masikini wale Misri na kuwafikisha nchi ya ..... ehhh naogopa kusema maana mabomu yanalipuka kila siku.
 
Kumbe ushaoa. Sasa mbona una entertain kuwapiganisha wakina Lydia Ngosha na Mwafrika wa Kike? Si uachie makoloni hayo nchi zingine zisizoendelea zikatafute malighafi huko?

Kuhani hapo siyo FAIR kabisa kutaja majina mawili moja likionekana kuwa la kweli na moja la bandia kama lako!
Utakuwa umemwonea Huyo Lidya Ngosha kwani jina linaonekana kama ni lake.
Unlike MWK ambaye simfahamu kwa jina hilo la MWK lakini labda ningeweza kumfahamu kwa jina lake sahihi kama ungefanya the same as ayou did to L Ngosha!
 
WanaJF,
MMK nashukuru kwa makala yako. Nilikujibu kule kwenye CEO WA TANROAD bila kujua kuna makala mpya. Najua lengo lako la kuandika hili ni kuwasha MOTO. Huu moto hata mie ndiyo lilikuwa lengo langu kuwa hii habari ni vema tuijadili ikibidi tuanze kufikiri nini kifanyike maana huko twendako inaweza kuwa hali mbaya. Mama kasema kuwa sasa hivi wasomi wengi Tanzania hivyo wengi kukataa kuwa akina Msuguri. Sasa wanakuta juu KUMEZIBWA. Hapa kwenye neno KUMEZIBWA kuna maana nyingi saana na chanzo chake kiko kwa walioziba na waliozibiwa. Ila ningelipenda pia kusema "form uliyotumia kuandika inaweza kuleta maana mbilimbili". Moja wapo ambayo naweza kuina haraharaka ni hii kuwa "Wachaga wakiondoka, nyie Wadanganyika mtafanya nini..?" Inanikumbusha yale maneno "mimi ndiyo njia ya kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi.." Anyway huo ni muono wangu. Na hata wakiondoka ukweli ni kwamba "Kufa hatutakufa ila Cha mtema kuni tutakiona.."
Naomba niweke ile makala yangu iliyokuwa kwenye thread nyingine....::>>>>

Hapa tatizo si WACHAGA. Kwa wengine tunajua hili ila "ukiingia kichwani kwa watu wasioona mbali kwa mbele na kwa nyuma utaona kabisa wao tatizo ni Mchaga/Mhaya..." Tatizo ni kuwa kwa nini wengine WAMEBAKI NYUMA? Wamebaki nyuma kiasi kwamba hata ungelikuwa Chenge, ukitaka kuajiri na kutafuta hizo SIFA utaona kuwa waliokuzunguka ni Wachaga/Wahaya. Nilipokuwa JKT tulikuwa tunaandikisha na dini yako/Kanisa. Mhhh, asilimia 90 ya watu JKT walikuwa WAKATOLIKI. Pia hapa ukitaka kuajiri utaona kuwa WANAOSTAHILI ni hawa Wakatoliki. Sasa tatizo ni WAKATOLIKI WANAPENDELEANA??? Hapa tatizo ni kama alilosema Jokakuu na mimi kulielezea mapema kuwa ni HISTORIA imefanya hivi. Tatizo si kuwa WACHAGA waache kazi au wasiajiriwe. Itakuwa yaleyale ya Uganda kufukuza Wahindi ingawa kuna wengine wanasema INAWASAIDIA SANA LEO. Sijui kama ni kweli au kwa sababu wana M7. Hili swala inabidi kwenda MORE DEEP na si kulichukulia juu juu. Kama ni hivyo, na mie napendekeza "Wakatoliki waache kazi na au wasiombe/wasipewe kama kwenye hicho kitengo juu yupo MKATOLIKI".
Narudia tena kuwa jamani makabila makabila mengine yako nyuma saana. Nafikiri kuna haja waliojuu kukaa na kupanga jinsi ya kubadilisha maisha ya MAKABILA yaliochini sana. Hii ifanyike kwa njia zote ziwezekanazo na HARAKA. Kwa kuwasomesha, kuwapa misaada ya maendeleo na kuhimiza hayo maendeleo na kufanya kazi kwa bidii kwa kuwaeleza umuhimu wake na ikibidi (kama hawataki) basi hata kwa VIBOKO. I wish kule kwetu aje dikteta atakeyutumia mabavu kuwatoa masikini wale Misri na kuwafikisha nchi ya ..... ehhh naogopa kusema maana mabomu yanalipuka kila siku.

Kwa mfano ndugu zetu wa Tanga wanakila kitu lakini wao wamebakiwa na porojo tu na miaka ya nyuma ulikuwa huruhusiwi kupiga hata kifuu teke..Maana kitakuuliza umenipigia nini?
 
na mojawapo ya actions imekuwa ni kuoa/kuoana..kwa utamaduni wtu ulikoolewa/oa ni umeunga undugu tayari...na mifano ipo kuwa katika kuunga undugu kuna kuhimiza kusoma/elimu kwa ujumla au kujiunga kwenye shughuli nyingine za ujasiriamali kama wafanyavyo wachagga.
 
Naomba niwarudishe nyuma kidogo

Utawala wa Majimbo kuna Mikoa itakufa, Kuna mikoa Mingi ni tegemezi sana , Hebu niambie Mkoa wa singida na Dodoma unashughuli gani ya kiuchumi, za kuufanya usogee mbele Kimaendeleo,?

Pili maeneo yenye Rasilimari Nyiingi za Kitaifa Kama, Mwanza na Arusha zitapiga hatua mara miambili kitu amabacho kitaongeza Ukabila mara dufu.Hivyo basi nivyema kwa kuendelea na Utaratibu Ulipo.

Cha Mwisho, Let say tumeanzisha sheria ambayo inaagiza kuwa kila kampuni kama main operation duties zake ziko mwanza lazima i hold account yake mwanza, unafikiri Dar es Salaam itchukua siku ngapi kufa kiuchumi?

Kuna mambo mengi sana amabayo yatatuganya zaidi tukifanya hivyo
 
nasikia Dodoma wanaongoza kwa kulima alizeti, ufuta, zabibu, karanga, ulezi na mbaazi ambazo zina soko sana. Pia wana mifugo kama ng'ombe na kuku, wanaweza amua kuwekeza katika mifugo wakawa wanasupply nyama majimbo mengine. Ni mipango tu lakini hakuna kisichowezekana huko. Israeli na Misri waendelee na kuwa kwao jangwani ije kuwa Dodoma na Singida.
 
Naona nimemgusa mama malechera, Ukiangalia Mgawanyiko wa rasilimali Utagundua ni kwanini sehemu zingune ziko mbele kimaendeleo, Ila Dodoma kama mtaazima waisrael na wamisri na technolojia zao mtapiga zeze vizuri
 
teh teh teh teh teh tehhhhhheeeeeeeeeeeeee.
 
Je ile migogoro ya NCCR, TLP, na sasa CHADEMA inaweza kuhusiana na hayo uliyodokeza??

Swali limetulia sana hili, ingawa sielewi hasa kina cha hii topic, lakini hili swali ni safi sana,

Finally, leo nimepata nafasi ya kuisikiliza interview ya Wangwe na Lisu, kwa kweli imenisikitisha sana kwa sababu ukweli unaonekana kuwa wazi kabisaaa!
 
FMES,

Ukweli uko wazi kwa nani? Wakikusikia CHADEMA hatapakalika hapa, maana wao hawasikii kitu zaidi ya kufukuzana na hizo personal vendetta.

Mimi ni mpenzi wa Lissu kwa miaka mingi shauri ya kampeni zake kwenye mazingira, ila mahojiano yake yale yamwemwanika kweli kweli.

Simfahamu Wangwe kwa karibu zaidi ya kusikia harakati zake za kupambana na CCM, ila kwenye yale mahojiano, maelezo yake yametulia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom