Chagga's day

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru Wa Tanganyika. Siku Hii Ilisherehekewa Kitaifa Kilimanjaro Katika Ikulu Ya Mangi Mkuu wa Wachagga KDC Moshi Mjini na Katika Maeneo Mengine Ya Wamangi Kilimanjaro Nzima.

Maadhimisho Haya Yaliyohudhuriwa na Watu wa Rika zote Kuanzia Watoto, Wanafunzi wa Shule na Watu Mashuhuri Kutoka Ndani na Nje Ya Kilimanjaro Yalijumuisha Maonyesho Mbalimbali na Nyimbo Ukiwemo Wimbo wa Jamii/Taifa La Wachagga Kilimanjaro.

Baadhi Ya Wachagga wa Leo Wenye Angalau Kuanzia Miaka 70 na Kuendelea Bado Wana Kumbukumbu Ya Maadhimisho Haya Ambayo Yalikuwa Muhimu na Makubwa Sana Kilimanjaro.

Siku Hii Ilikuwa Maalum Kwa Ajili Ya Kuimarisha Mshikamano, Ushirikiano, Kujiamini na Kujitambua Kwa Wachagga Katika Kukuza Ustawi wa Wachagga Kuelekea Kutimiza Ndoto Kuu Ya Wachagga(Chagga Dream).

Sisi Wachagga wa Leo, Kama Ilivyo Kwa Jamii Nyingi Zenye Kujitambua Duniani Tuna Haki na Wajibu wa Kuienzi Siku Hii Muhimu Kwetu Itakayosaidia Kuimarisha Mshikamano, Ushirikiano, Kujiamini na Kujitambua Kwa Ajili Ya Ustawi wa Jamii Yetu Ya Sasa na Vizazi Vinavyokuja.

Hivyo Wewe Kama Mchagga Mzalendo, Tuma Ujumbe Huu Kwa Mchagga Yeyote, Anaweza Kuwa Mzazi, Ndugu, Rafiki, Jamaa au Jirani.

Ujumbe:
"(HERI YA SIKUKUU YA WACHAGGA, Siku Hii Muhimu Sana Kwetu Ikarudishe Mshikamano na Upendo Baina Yetu na Kutujengea Kujiamini na Kujitambua Zaidi)"

Message:
"(HAPPY CHAGGA'S DAY, May This Special Day of Ours Bring Back Our Cohesion and Love Among Us and May it Bring Confidence and Enlighten Us More)".

Kwa Kutuma Ujumbe Huu Utakuwa Umefanya Jambo Kubwa La Kizalendo Kwa Jamii Yetu Kwa Kusambaza Upendo na Mshikamano.

Wewe Pia Unaweza Kuisherehekea Siku Hii Kwa Kupika Vyakula Vya Asili Ya Kilimanjaro, Kusikiliza Nyimbo Zetu za Asili na Kuzungumza na Watu Hasa Watoto Hadithi Mbalimbali Zilizotuletea Ufahari na Ushujaa Mwingi Kilimanjaro.

NAWATAKIENI WOTE HERI YA SIKUKUU YA WACHAGGA, Siku Hii Ikawe Ya Tofauti Sana Kwenu na Ikaache Kumbukumbu Muhimu za Upendo na Mshikamano.

HAPPY CHAGGA'S DAY TO YOU ALL.

Ahsanteni.
 
World's Chagga Day??

Mbege na yale maagano sio kitu poa aisee

Nyie endeleeni kula nyani na panzi...
045EB39F-1C78-45D5-957E-1AD7411C27D6.jpeg

Akili za kinyani nyani
 
Ukiwa honest kabisa, bila kujali itikadi za ukabila, na mimi nikiwa natokea kabila tofauti kabisa, naomba nikiri kuwa kuna kitu cha tofauti ambacho wachaga wanacho ukilinganisha na makabila mengine hasa katika utafutaji wa mali.
Thanks for your acknowledgement!!
 
Nani(Mchaga) alichukua nyota yako?? na Mchaga gani aliwahi kukuloga?
Wapo wengi ila sasa ukiwataja inafaida gani hadi hapa tunapoishi wanamapaka jini, vifungo vya wenzao , mara mapembe, miguu ya ng'ombe , wanazalia vizazi vya wenzao , wanaleta mijusi yakuvutia wateja na maisha ya watu
 
Unaishi wapi? ww umejuaje? Unless unaishi na wachawi!!
 
Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru Wa Tanganyika. Siku Hii Ilisherehekewa Kitaifa Kilimanjaro Katika Ikulu Ya Mangi Mkuu wa Wachagga KDC Moshi Mjini na Katika Maeneo Mengine Ya Wamangi Kilimanjaro Nzima.

Maadhimisho Haya Yaliyohudhuriwa na Watu wa Rika zote Kuanzia Watoto, Wanafunzi wa Shule na Watu Mashuhuri Kutoka Ndani na Nje Ya Kilimanjaro Yalijumuisha Maonyesho Mbalimbali na Nyimbo Ukiwemo Wimbo wa Jamii/Taifa La Wachagga Kilimanjaro.

Baadhi Ya Wachagga wa Leo Wenye Angalau Kuanzia Miaka 70 na Kuendelea Bado Wana Kumbukumbu Ya Maadhimisho Haya Ambayo Yalikuwa Muhimu na Makubwa Sana Kilimanjaro.

Siku Hii Ilikuwa Maalum Kwa Ajili Ya Kuimarisha Mshikamano, Ushirikiano, Kujiamini na Kujitambua Kwa Wachagga Katika Kukuza Ustawi wa Wachagga Kuelekea Kutimiza Ndoto Kuu Ya Wachagga(Chagga Dream).

Sisi Wachagga wa Leo, Kama Ilivyo Kwa Jamii Nyingi Zenye Kujitambua Duniani Tuna Haki na Wajibu wa Kuienzi Siku Hii Muhimu Kwetu Itakayosaidia Kuimarisha Mshikamano, Ushirikiano, Kujiamini na Kujitambua Kwa Ajili Ya Ustawi wa Jamii Yetu Ya Sasa na Vizazi Vinavyokuja.

Hivyo Wewe Kama Mchagga Mzalendo, Tuma Ujumbe Huu Kwa Mchagga Yeyote, Anaweza Kuwa Mzazi, Ndugu, Rafiki, Jamaa au Jirani.

Ujumbe:
"(HERI YA SIKUKUU YA WACHAGGA, Siku Hii Muhimu Sana Kwetu Ikarudishe Mshikamano na Upendo Baina Yetu na Kutujengea Kujiamini na Kujitambua Zaidi)"

Message:
"(HAPPY CHAGGA'S DAY, May This Special Day of Ours Bring Back Our Cohesion and Love Among Us and May it Bring Confidence and Enlighten Us More)".

Kwa Kutuma Ujumbe Huu Utakuwa Umefanya Jambo Kubwa La Kizalendo Kwa Jamii Yetu Kwa Kusambaza Upendo na Mshikamano.

Wewe Pia Unaweza Kuisherehekea Siku Hii Kwa Kupika Vyakula Vya Asili Ya Kilimanjaro, Kusikiliza Nyimbo Zetu za Asili na Kuzungumza na Watu Hasa Watoto Hadithi Mbalimbali Zilizotuletea Ufahari na Ushujaa Mwingi Kilimanjaro.

NAWATAKIENI WOTE HERI YA SIKUKUU YA WACHAGGA, Siku Hii Ikawe Ya Tofauti Sana Kwenu na Ikaache Kumbukumbu Muhimu za Upendo na Mshikamano.

HAPPY CHAGGA'S DAY TO YOU ALL.

Ahsanteni.
Aikambe meku
 
Back
Top Bottom