Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Wakuu,

Nadhani moja ya sababu za waluo nchini Kenya kumsimamisha Raila Odinga na kuhakikisha anakuwa raisi wa nchi hio ni kwamba Wakikuyu ndio wenye nafasi katika shughuli zote za serikali, biashara, mabenki na mengine yenye kuweka fwedha mifukoni.

Lakini wali-analyse hio situation na kuona kwamba bila kuweka mshinikizo wa kuingia mitaani na kuleta vurugu basi kisingeeleweka.

Lakini sometimes ni njia ambayo inaleta sense kwamba Raila Odinga amekuwa waziri mkuu wa kwanza kutoka katika kabila la wa-Luo.

Kuna harakati zingine katika sehemu kama Darfur, Niger Delta na kwingine ambako watu wanahisi kwamba kabila fulani linatawala "kiakili" makabila mengine.

Sasa tukirudi Tanzania naona kwamba wachaga au watu kutoka Kilimanjaro,wamejitahidi kwa uwezo wao kulingana na "ambitions" zao katika kufanikiwa kimaisha ingawa tuna watu kama Grey Mgonja na Basii Mramba ambao ni wapare na wamejihusisha na UFISADI.

Suluhisho nnaloliona ni kwa mheshimiwa raisi kutoa "executive order" kwamba kuwe na uwiano wa nafasi kwa makabila yote ya Tanzania since hatujawahi kuwa na raisi mnyakyusa, mhaya au mzigua.

Kwa hio iangaliwe ni sehemu gani kuwe na elite ambao ni mchanganyiko wa makabila yote ya Tanzania, kwa mfano katika NEC ya CCM ambako nako kunatuhumiwa kwa UDINI.

Yaani ni kaazi kweli kweli.
 
Kujitambua ninakoelewa mimi ni kwa wale ambao wanadhani wako kwenye minority groups kuamka na kuanza kufanya kazi kwa bidii iwe ni kusoma au shughuli yoyote ile. Hakuna njia ya mkato wandugu! work hard!

Hii inafanana na ile ya Big BEN "Mtaji wa masikini nguvu zake".....unajua kuwa its a big lie....well not kwa wenye nacho...

Tanzanianjema
 
Mzee Mwanakiji,

Naona sasa, Unaanza kujishushia heshima, Kila ukiamka Udini, Ukabila......Mambo unayoyandakika Humu yanasomwa na watanzania mamilioni.Na kama mengi ninavyoyaona unayaweka katika Hali ya Uchochezi.

A MODEST PROPOSAL

Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vumbi la chuki, fitina, wivu, kisasi, na hisia za kibaguzi dhidi ya jamii ya Wachagga nchini. Kuna kila dalili kuwa jamii ya Wachagga nchini siyo tu inaanza kutengwa lakini uwepo wake katika nafasi mbalimbali za uongozi inazua hoja ya ukabila kwa haraka zaidi yawezekana kuliko kabila jingine lolote nchini. Katika Tanzania yetu, wachagga wameanza kunyoshewa kidole siyo kwa siri tena bali kwa wazi kabisa tena na watu ambao wakati mwingine hawapati hata kigugumizi.
<...................>

Katika kufanya hivyo jamii ya Watanzania ambao inaona ukabila wa wachagga katika sehemu nyingi itaridhika kwani kwa mara ya kwanza tutakuwa tumeshughulikia chanzo cha matatizo yetu mengi.

Mkuu MMJJ,
Nakubaliana na Leokweli kuwa sasa hadhi yako inashuka. Hii ni mara ya pili nalisema hili baada ya ile post yako nyingine iliyokuwa haina kichwa wala mkia. Hii ya leo hata kama ni suala la kujadili lakini sarcasm iliyoitengeneza inaleta maswali zaidi ya majibu.

Nilipoisoma hii habari yako nikakumbuka ile misemo ya watoto wangu ambapo, mmoja wao anaposhitukiwa kuwapora wenzake huwa anajaribu kususia kwa kuwaambia; "Basi kama mnaona mimi nafaidi basi chukueni nyie vyote". Maana za misemo mingine zinafurahisha sana.

Kabla hujawaambia hao wachagaa unaosema kuwa wanaonewa na kuchukiwa na waTZ wengine bila sababu yeyote, ingawa wao, hao wachagaa, sio wakosaji, nina moja tu ninalotaka kufahamu.
  1. Hebu tufahamishe wewe unakotokea ili tuweze kuku-excuse tunapochambua hiyo hoja uliyotuletea. Otherwise itakuwa vigumu kujua nia ya hayo matamshi yako na hasa ulivyojua kuwepo kwa hizo chuki, fitina, wivu, visasi, ubaguzi n.k.
 
Nani kasema collective judgement inakubalika hapa?

Mbona sijaona mtu aka take exception Wahaya wasiitwe mafuska hapa?

Nani kawahi kupinga Wakurya wasiitwe wapiga wake hapa?

Na Wachaga stingy na wezi?
 
Niliwahi kusafiri kwenda Mwanza kupitia Musoma na nilipata shida ya safari kwani kulikuwa na mafuriko!

Nafikiri ilikuwa ni kama mwaka 1997 kama sikosei!
Pale musoma nilikosa pa kulala kwani niliporwa waleti na passport pale mpakani TARIME NA WATU AMBAO HATA SI WACHAGGA!

Nilipofika Musoma mjini...Nilizunguka kama omba omna mjini ili kupata msaada kwani basi liliniacha kwa kuwa nilikuwa sina hata ticketi yangu wala passport! Basi lenyewe TAWFIQ!

Nikapewa msaada na jamaa mmoja msomali na mimi nikalala kwenye ICE YAKE ILIYOKUWA IMEANDIKWA JINA LA MCHEZAJI WA KABUMBU "GINOLA" Ice yeynyewe ilikuwa inapaki hapo nje na walinzi!

Ilikuwa ni kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani!

Kweli na ice yenyewe haikuwa na baadhi ya vioo na mbu walinifanyia mbaya na wala hata sikuweza kulala!

Nikizunguka kuomba hata msaada wa simu ninaelekezwa kwa mchagga.
Yani wakanielekeza kwa mchagga ambaye ana duka na mimi nilishangazwa ni kwanini wanielekeze kwa mchagga na bila kunisaidia kama Mtazania!

Baadae mchagga huyo akanisadia simu na kuna dada aliyenipa mia tano kwenye duka lingine nikaenda kula ugali na paja la kuku wa kienyeji na mchuzi safi huku niking'ata pilipili mbuzi na FANTA KUBWA!

Ila nilijifunza mengi na MSOMALI WA MUSOMA ALIYEKUWA NA GINOLA ANAWEZA KUHAKIKISHA STORY HII kwani alikuwa na hiace kadhaa na moja likuwa nzuri sana ila Ginola ndiyo niliyoambiwa nilale humo hadi Usiku mlinzi akaniamsha na kunihamishia kwenye hiace yenye vioo!
Hata hivyo nilipumzika hapo kama less than i hr kwani biashara za dalala zinaanza kumi na moja usubuhi!
 
Hapo Dar watu wanachuki sana na wakristo na wao huwaita..WAKIRISTO!
Na pia wachagga wao husema mangi!
Chuki ni mbaya na waarabu hapo Dar ndio wanaleta hayo na kwa mtizamo wangu wanamzungunka R.MENGI!
Kama wana ndoto nasema ni za mchana!
Tutazichapa na watarudi uarabuni kwao!
Na misomali ndio usiseme!
BANTU LAND IS FOR BANTU!

Mushi, ya Wakristo na Waarabu dhidi ya Wabantu yanakujaje hapa?

Nilifikiri tunajadili yetu ya Ukabila.
 
Hii inafanana na ile ya Big BEN "Mtaji wa masikini nguvu zake".....unajua kuwa its a big lie....well not kwa wenye nacho...

Tanzanianjema

Well, ningesema pia kuwa kwa masikini ambaye hauoni umasikini wake na kuanza kuuvalia njuga, tatizo linakuwa kwake! sadly that is the truth hakuna mafanikio bila kutia bidii...na huhitaji kupigiwa tarumbeta kuwa 'sasa fanya bidii'! anyway lilishapigwa sana lakini ndo hivo tena wengine wetu 'ndivyo tulivyo'.
 
Mkuu MMJJ,
Nakubaliana na Leokweli kuwa sasa hadhi yako inashuka. Hii ni mara ya pili nalisema hili baada ya ile post yako nyingine iliyokuwa haina kichwa wala mkia. Hii ya leo hata kama ni suala la kujadili lakini sarcasm iliyoitengeneza inaleta maswali zaidi ya majibu.

Nilipoisoma hii habari yako nikakumbuka ile misemo ya watoto wangu ambapo, mmoja wao anaposhitukiwa kuwapora wenzake huwa anajaribu kususia kwa kuwaambia; "Basi kama mnaona mimi nafaidi basi chukueni nyie vyote". Maana za misemo mingine zinafurahisha sana.

Kabla hujawaambia hao wachagaa unaosema kuwa wanaonewa na kuchukiwa na waTZ wengine bila sababu yeyote, ingawa wao, hao wachagaa, sio wakosaji, nina moja tu ninalotaka kufahamu.
  1. Hebu tufahamishe wewe unakotokea ili tuweze kuku-excuse tunapochambua hiyo hoja uliyotuletea. Otherwise itakuwa vigumu kujua nia ya hayo matamshi yako na hasa ulivyojua kuwepo kwa hizo chuki, fitina, wivu, visasi, ubaguzi n.k.

Leo kweli inawezekana ni Muungwana mwenyewe!
Sasa kama ana mawazo mazuri hata kuliki MKJJ then tusimwite fisadi hadi arudi kutoka Japan tuone atafanya nini!
 
Yanakuwa hivyo hivyo kama ya WAKURYA NA WACHAGGA! Na ma ANTI CHAGGA!

Mbona hapo unakuwa kama hujajibu swali?

Nimeuliza Ukristo na Uarabu dhidi ya Ubantu yanakujaje kwenye mjadala wa perceived bias against Wachaga?

Labda hukunielewa.
 
Wakuu,

Nadhani moja ya sababu za waluo nchini Kenya kumsimamisha Raila Odinga na kuhakikisha anakuwa raisi wa nchi hio ni kwamba Wakikuyu ndio wenye nafasi katika shughuli zote za serikali, biashara, mabenki na mengine yenye kuweka fwedha mifukoni.

Lakini wali-analyse hio situation na kuona kwamba bila kuweka mshinikizo wa kuingia mitaani na kuleta vurugu basi kisingeeleweka.

Lakini sometimes ni njia ambayo inaleta sense kwamba Raila Odinga amekuwa waziri mkuu wa kwanza kutoka katika kabila la wa-Luo.

Kuna harakati zingine katika sehemu kama Darfur, Niger Delta na kwingine ambako watu wanahisi kwamba kabila fulani linatawala "kiakili" makabila mengine.

Sasa tukirudi Tanzania naona kwamba wachaga au watu kutoka Kilimanjaro,wamejitahidi kwa uwezo wao kulingana na "ambitions" zao katika kufanikiwa kimaisha ingawa tuna watu kama Grey Mgonja na Basii Mramba ambao ni wapare na wamejihusisha na UFISADI.

Suluhisho nnaloliona ni kwa mheshimiwa raisi kutoa "executive order" kwamba kuwe na uwiano wa nafasi kwa makabila yote ya Tanzania since hatujawahi kuwa na raisi mnyakyusa, mhaya au mzigua.

Kwa hio iangaliwe ni sehemu gani kuwe na elite ambao ni mchanganyiko wa makabila yote ya Tanzania, kwa mfano katika NEC ya CCM ambako nako kunatuhumiwa kwa UDINI.

Yaani ni kaazi kweli kweli.

Mkuu Richard,

kwanza Basil Mramba si Mpare bali ni Mchaga.

pili,kulingana na maelezo yako hapo juu,hebu tujaribu kusolve hili tatizo la ukabila kwa kutumia action plan ya Majimbo system.hii ni mojawapo ya theory kutoka katika Dynamic Group theories.

Halafu ukabila huu wa hapa Tanzania ukiachwa bila kukemewa utakuja kutu-cost sana in future
 
Mbona hapo unakuwa kama hujajibu swali?

Nimeuliza Ukristo na Uarabu dhidi ya Ubantu yanakujaje kwenye mjadala wa perceived bias against Wachaga?

Labda hukunielewa.

Kwasababu UFISADI ULIFANYWA NA MWARABU WA IRANI NA WATUMWA WAKE NA SI "WACHAGGA"
NA SASA MWARABU HUYO HUYO KATOKA MSIKITINI HADI KANISANI MARA BAADA YA MBINU A KWANZA YA KUMTUMIA WANGWE NA BAADHI YA WAKURYA KUKWAMA!
Hawa watu wanakuja nchini mwetu wakiwa wamesha isoma historia yetu!
NI WAJUMBE WA SHETANI!
 
Mkuu Richard,

kwanza Basil Mramba si Mpare bali ni Mchaga.

pili,kulingana na maelezo yako hapo juu,hebu tujaribu kusolve hili tatizo la ukabila kwa kutumia action plan ya Majimbo system.hii ni mojawapo ya theory kutoka katika Dynamic Group theories.

Halafu ukabila huu wa hapa Tanzania ukiachwa bila kukemewa utakuja kutu-cost sana in future

Mkuu,

Kwanza ahsante kwa kunikumbusha kwamba Mramba ni Mchaga.

Mimi naona "system" ya majimbo ndio suluhisho la pekee kwa matatizo ya Tanzania na umaskini utaondoka kwa haraka.

Suala hili haliwezi kutimia iwapo bado bajeti yetu itategemea wahisani na wafadhili wengine ambao hawatakuwa na say yoyote ile huko majimboni.

Hawa watu wanakuwa na "say" kwa sasa kwa sababu kuna central government na ndio yenye say kuhusu hata kodi ya viwanja ambayo ianapaswa kuendeleza majimbo hayo.

Halafu unajua kwamba hili tatizo limekomaa na bila hatua za haraka kulimulika basi tutajikuta siku moja tuna matatizo.
 
Mkuu,

Sasa hapa naona umeamua kweli kweli kwi kwi

Watu wasiokuwa na upeo utawajuwa tu!

Ni wakabila na wenye plenty of steriotype na wasiokuwa na mwamko wa maendeleo hata wasome vipi!

Hao mimi nawafahamu hivyo hawanipi tabu kabisaa!

NB:NA WATU WA TANGA MBONA WAMEACHWA NJE?
AMA TUMWULIZE MWALIMU NI KWANINI MMOJA WAO ALIACHIA MKOJO KWENYE DHIFA YA TAIFA BAAADA YA KUUCHAPA MTINDI KISAWASAW?
 
kimbia maana karibu utaingia mkenge. Hivi mwanakijiji akifungiwa kuingia JF si ataugua jamani, just curious. MWANAKIJIJI hebu niambie ukifungiwa utajisikiaje, kama hujui utakavyojisikia kwa vile hujawahi fungiwa, hebu ukubali kufungiwa kwa wiki moja tu walau,

kunifungia... nitajisikiaje...? well nitajisikia nimefungiwa!
 
Mkuu MMJJ,
Nakubaliana na Leokweli kuwa sasa hadhi yako inashuka. Hii ni mara ya pili nalisema hili baada ya ile post yako nyingine iliyokuwa haina kichwa wala mkia. Hii ya leo hata kama ni suala la kujadili lakini sarcasm iliyoitengeneza inaleta maswali zaidi ya majibu.

Nilipoisoma hii habari yako nikakumbuka ile misemo ya watoto wangu ambapo, mmoja wao anaposhitukiwa kuwapora wenzake huwa anajaribu kususia kwa kuwaambia; "Basi kama mnaona mimi nafaidi basi chukueni nyie vyote". Maana za misemo mingine zinafurahisha sana.

Kabla hujawaambia hao wachagaa unaosema kuwa wanaonewa na kuchukiwa na waTZ wengine bila sababu yeyote, ingawa wao, hao wachagaa, sio wakosaji, nina moja tu ninalotaka kufahamu.
  1. Hebu tufahamishe wewe unakotokea ili tuweze kuku-excuse tunapochambua hiyo hoja uliyotuletea. Otherwise itakuwa vigumu kujua nia ya hayo matamshi yako na hasa ulivyojua kuwepo kwa hizo chuki, fitina, wivu, visasi, ubaguzi n.k.

tatizo ni kwamba kuna watu wanajali sana hadhi zao kiasi kwamba hawapendi kuudhi watu... I'm not one of them.

Well.. mimi nimetoka Ungonini nikiwa na damu ya Kinyakyusa, nimeoa Uchagani, ambako mama Mkwe ni Mhaya ambaye mama yake ni Mzaramo!
 
kunifungia... nitajisikiaje...? well nitajisikia nimefungiwa!

Mkjj,
Duh,mkuu ulidahiliwa katika kile chuo cha mwafrika wa kike cha kutoa majibu nini? teh teh teh!

Wakuu naona nazidiwa na usingizi mno,debate imekua kali.

Mkuu,Richard pokea tano sana kwa huo mchango wako.

Wakuu hongereni kwa mjadala huu wa kusisimua.Baadae kidogo tena tupo pamoja Mungu akijaalia!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom