Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

Ni kweli Mkuu, wakati mwingine wasiwasi wako ndiyo faida yako pia. Imagine una deni la Benki, hapo lazima uwe macho masaa 24 kufatilia
Na shida kubwa ya utakaye muajiri ni binadamu, hata umlipe kiasi gani, umtendee wema kiasi gani, kuna uwezekano mkubwa siku moja ataingiwa na tamaa na hapo ndio mwanzo wa biashara kufa , lazima uwe na mbinu za ziada za kujua maendeleo ya biashara yako.
 
Uko sahihi Boss,

Huyo jamaa angu alimwamini Mhudumu wake, kilichotokea Guest ya Vyumba 8 Dodoma analetewa shilingi 40,000 kwa siku eti wateja hakuna. Kuja kufanya uchunguzi, it was too late, Mkopo kashindwa kurejesha na Jamaa akapatwa na BP na Kisukari Juu.
 
Asante kwa ushauri Mkuu, ingawa kuna mdau hapo juu ana doubt kuwa inaweza kukimbiza wateja wakijua wanaoneka kwa Camera.
Hapana camera hufungi kwa vyumba unafunga korido na reception na coner ya ili mteja umuone akiingia pia kwa usalama wa kibishara lazima ufunge mfano mtu akija na mtu alafu akaua lazima biashara yako itakufa so kuweka wazi wa biashara yako na kusaidia usalama lazima ufunge
 
achana na mambo ya kutengeneza 'urafiki' hakuna kitu hapo, atakupiga tu, binadam haturidhiki

muhimu ni CCTv Camera, iweke mapokezi itazame mlango ( vizuri ikawa hidden )
Asante kwa Ushauri Mkuu, nadhani nitatafuta hidden CCTV ambayo inakuwa mlangoni kama Taa ya Kawaida kumbe inacheki wateja
 
Hapana camera hufungi kwa vyumba unafunga korido na reception na coner ya ili mteja umuone akiingia pia kwa usalama wa kibishara lazima ufunge mfano mtu akija na mtu alafu akaua lazima biashara yako itakufa so kuweka wazi wa biashara yako na kusaidia usalama lazima ufunge
Shukrani kwa ushauri Mkuu, Kumbe Camera is a MUST
 
Mm binafsi nakupa go ahead kbx juu ya mpango wako wa kuazisha biashara ya nyumban ya kulala wageni ni mpango mzuri km2 umejipanga bc
 
Shukrani Boss

Let's keep hustling 💪💪💪
 
Jitahidi uajiri ata aliesoma cheti au diploma,anaweza akakusaidia vizuri kuliko wale ambao hawajasoma au wameishia darasa la saba; kwa mwenye elimu anakuwa tayari na mwanga wa faida na hasara. Akiwa mwanamke itakuwa ni bora zaidi kuliko mwanaume
 
Biashara nzuri.

Kikubwa upate wafanyakazi waamnifu ,ile design ya watu ambao hata wakiona mteja kasahahu simu wanitunza , watu ambao sio janja janja , tafuta kijana mmoja mtulivu anayejielewa hata kutoka mkoani ,

ukimlipa vizuri atapiga kazi vyema ukipata wawili ni vizuri ukawapangia ratiba nzuri ili wawe wanapata muda wa off kazi zisiwachoshe wakapoteza ufanisi.

Kikubwa upate waamninfu maana wengine unaweza kuwalipa vizuri na bado kila siku wakawa wanakupiga pesa za show time/wale wateja wasiolala!!
 
Ingawaje changamoto ya Mwenye Elimu kubwa ni Ku demand mshahara mkubwa.

Sio mbaya kama ulivyosema kumpata wa kuanzia hata na Cheti
 
Biashara nzuri.

Kikubwa upate wafanyakazi waamnifu ,ile design ya watu ambao hata wakiona mteja kasahahu simu wanitunza , watu ambao sio janja janja , tafuta kijana mmoja mtulivu anayejielewa hata kutoka mkoani ,

ukimlipa vizuri atapiga kazi vyema ukipata wawili ni vizuri ukawapangia ratiba nzuri ili wawe wanapata muda wa off kazi zisiwachoshe wakapoteza ufanisi.

Kikubwa upate waamninfu maana wengine unaweza kuwalipa vizuri na bado kila siku wakawa wanakupiga pesa za show time/wale wateja wasiolala!!
Mkuu umeongea jambo nililosahau la kupata wahudumu walau wawili ili wapate na muda wa kupumzika kuongeza Morale ya kazi.

Hili nilisahau kabisa
 
Back
Top Bottom