Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

Asante. Ilinifunza sana. Mama alikuwa kila siku akikonda, bahati mbaya sana mama yangu alikuwa ni mpole sana, na mtiifu kupita kiasi. Nikaja jua kuwa ni mzee ndiye chanzo baada ya kuwa mtu mzima. Nilizoea kuwaambia wadogo zangu, mkiolewa msiwe kama mam, kuweni na heshima kwa waume zenu ila msiwe watumwa. All in all, namshukuru pia sababu kila kitu nilichofanikiwa maishani mwangu, msingi ni wake.
Akina mama wengi wanapitia manyanyaso ya aina nyingi sema hua wanavumilia for the sake of their children.
Yees muhimu ni kushukuru kwa yote na kujitahidi kutorithi yale ambayo wazazi wetu walifeli ili yasijirudie kwenye familia zetu tutakazotengeneza/tunazotengeneza
 
Hakika.
 
Nakumbuka mimi nikiwa form one na mdogo wangu grade 2 tumeshuka kwenye school bus tunatembea kuelekea nyumbani. Ghafla njiani akatokea mkaka jirani yetu akaanza niambia kwanini unanikataa huku ananipiga akinituhumu najisikia sababu sisi tunapelekwa shule na gari.

Mdogo wangu akakimbia hadi nyumbani kumwambia baba na mimi nilifanikiwa kumchomoka yule kijana nikakimbilia nyumbani kufika nalia baba akinichukua hadi nyumbani kwao yule kijana, ile tunaingia tu na yule kijana kafika kwao aiseeeeee alipigwa makofi na mshua nikajua yameisha tunaenda nyumbani.

Mara baba akasema tunaenda polisi kufika polisi nikaandika maelekezo na hivi nilikua underage ikachukuliwa defender pale kuja kumkamata yule kijana yeye alikua mkubwa tukaenda polisi alichapwa fimbo na polisi jamani baadae wakanipa fimbo na mimi nijirudishie hehehehe. Tangu siku ile hakuna kijana mtaani kwetu alitusogelea kuongea ujinga.

Nakupenda sana baba Mungu akupe maisha marefu.
Ndio maana mpka leo hujaolewa
 
Mwenyezi Mungu azidi kunitunzia Wazazi wangu wawili, nawaonea sana wivu kwa jinsi walivyoweza kudumu kwenye Ndoa yao tokea mimi HARUFU sijazaliwa hadi kufikia hii leo, hivi sasa
 
Ewe Mola wangu, nisamehe mimi na wazazi wangu wawili na uwarehemu wao kama walivyonilea utotoni.
 
We ni kama mimi ,baba yangu hakuwa na uwezo lakini nafeel ule Upendo wake wa dhati kabisa kwangu ukizingatia mimi ndio mtoto wa kiume pekee katika familia

CC Zero IQ
Mtoto wa kiume pekee halafu wa hovyo namna hii
 
Mafunzo muhimu juu ya maisha, bado anaendelea kupigania maisha yangu ya baadae, Ila sitasahu kipigo kitakatifu alichonipa kisa nilimtukan mwanafunz mwenzangu tusi kubwa lol sitasahau kamwee, Jah amlinde daddy angu ever

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hajajua kuwa we ni niaje niaje? Haikupi changamoto mkuu? Sijauliza kwa ubaya
 
Asante. Ilinifunza sana. Mama alikuwa kila siku akikonda, bahati mbaya sana mama yangu alikuwa ni mpole sana, na mtiifu kupita kiasi. Nikaja jua kuwa ni mzee ndiye chanzo baada ya kuwa mtu mzima. Nilizoea kuwaambia wadogo zangu, mkiolewa msiwe kama mam, kuweni na heshima kwa waume zenu ila msiwe watumwa. All in all, namshukuru pia sababu kila kitu nilichofanikiwa maishani mwangu, msingi ni wake.
Big up japo kum appreciate licha ya changamoto zake..safi sana..sometimes wazee vichomi sana..Huyu anafanana na baba mkwe wangu
 
Sina upendo wowote juu yake, sina nnachokumbuka.
Kwasababu simjui na sijawahi hata kumuona mpaka nakua mtu mzima.

Mwamba ni ndezi sana aisee, simkubali hata kidogo japo simjui.
 
Back
Top Bottom