MWAMUNU
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 870
- 531
Kweli mjinga wewe[emoji3]Kuna kitabu kinaitwa "SOMA KWA HATUA".
kitabu sikipendi Kileee kimeniliza sanaa
Dingi akitoka kazini anaanza kunifundisha.
Nikikosea tu bakora za maana..
Kipindi hicho baba kanunua TV na deki..
Nikirudi mchana mimi tv tu nacheki mikanda.
Phantom solder,eastern condors,Rambo anold baba jeni..
Ila usiku ukianza kuingia nakuwa mpole maana najua baba akirudi ataniita anifundishe na bakora juu
Sent using Jamii Forums mobile app