Wachambuzi wanachambua sana Yanga Sc vs Mamelodi Fc kuliko mchezo wa Simba sc vs Al Ahly

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,738
Kila nikifungulia Redio ni Yanga Sc vs Mamelodi Tena wachambuzi wanaamini kabisa kuwa Yanga sc itafungwa maana wanavyoipamba Mamelody Fc Kama shabiki una moyo mdogo unaweza usiende uwanjani.

Hii Yanga Sc itawashangaza Wachambua mchele wa kibongo na Africa nzima. Hii ndiyo nafasi ya Yao kwasi, Aziz k, Pacome, Max Nzengeli kuonekana kimataifa na mataifa Yao kuona umuhimu wao.

Wachambuzi hawaongelei mechi ya Simba sc vs Al ahly wanaamini kuwa Simba sc kamzoea Al ahly sc na siyo mechi ngumu Ila kiukweli wachambuzi wa MCHONGO wanalipwa ili kuwafariji AYUBU FC.
 
Salamaleko babu NALIA NGWENA.

Twende nzetu kwa Mkapa hakuna kiingilio msibani.
 
Kila nikifungulia Redio ni Yanga Sc vs Mamelodi Tena wachambuzi wanaamini kabisa kuwa Yanga sc itafungwa maana wanavyoipamba Mamelody Fc Kama shabiki una moyo mdogo unaweza usiende uwanjani.

Hii Yanga Sc itawashangaza Wachambua mchele wa kibongo na Africa nzima. Hii ndiyo nafasi ya Yao kwasi, Aziz k, Pacome, Max Nzengeli kuonekana kimataifa na mataifa Yao kuona umuhimu wao.

Wachambuzi hawaongelei mechi ya Simba sc vs Al ahly wanaamini kuwa Simba sc kamzoea Al ahly sc na siyo mechi ngumu Ila kiukweli wachambuzi wa MCHONGO wanalipwa ili kuwafariji AYUBU FC.
njaa zinawasumbua
 
Mtu mfupi anaitwa Marcello Allender injini ya Mamelodi huyo anaamua timu iende kwa mwendo na speed gani wafumbe macho au warudi reverse 🔥 😆🙆🏽‍♂️
IMG-20240324-WA0614.jpg
 
Wachambuzi wa MCHONGO wanalipwa ili kuwafariji AYUBU FC.

Vipi Kama wanalipwa kuwafariji Utopo FC!?? Maana hawawezi kukomalia mechi moja wakati wanajua ziko mbili.
Ata hivyo, kibaya Cha jitembeza, Simba haina shobo na media.
 
Sasa mchambuzi amchambue kibu, fred, Bubacar sarr, jobe, saidoo dhid ya Ahly ivi inaingia akilini kweli!!
Hivi vitu havitokei kwa bahati mbaya.

Ata uko Cairo wachambuzi 80% wana ichambua mechi ya Yanga na Mamelodi kwakua ndio mechi ya wiki la Caf.
 
KWELI KABISA
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima kichwani Zinaanza kupungua

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA,
HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA WATANZANIA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
 
Back
Top Bottom