Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Yaani mimi ishapiga sana naishapigana sana nademu, usiombe ukakutana nademu kama wangu mnapigana kwanza alafu baada yakumjeruhi nakumshinda nguvu ndio anaomba msamaha, kuna kipindi tulizichapa mpaka akalazwa watu wakajua ndio tunaachana hivyo, ila akanipigia simu nikamuone hsptl maana ugomvi ulikuja kuamuliwa namama yake, akabebwa akapelekwa kwao kufika kwao akazidiwa ikabidi apelekwe hsptl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi umemwoa mkuu au ushamtema??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh nilipokea kipigo cha mbwa koko kisa kutotoa ushirikiano kwenye mgegedo....me nilikua sijisikii mwenzangu anataka doooh mvua ya ngumi ilinyesha...pasuliwa sim ,vunjiwa saa,,yan nyang'anyang'a...na ela nkapewa juu....tukasolve yakaisha hatujakaa sawa nimetimba magetoni anaomba mzigo naleta kamgomo weeeee alitaka kunichoma na mkasi kabsa shingoni mweee yule kaka...tukaachanaga kwa nguvu ivo ivo.....mpka Leo naogopa ugomvi bora nikimbie nikiona hari ya hewa imechange au nijishushe mpaka apoe kuna watu wanahasira dunia hii cjapata ona....

am better here

Hii ni kweli au umeamua kutuchekesha na comedy?
 
Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani ugomvi wa wazazi kuuhamishia kwa watoto ni kuwakomoa watoto na kuwapa adhabu zisizostahili.

Dah sikujua km uwezo wa akili yako ndiyo umeishia hapa.

Wape watoto wako malezi bora kitabia, kiakili, kisaikolojia, kimwili na kiimani.
 
Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo pumbafuuu kweli Sasa asipofika uzeeni, wewe mwanamke mpumbavu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii ya kumwaga sumu kwa watoto siiafiki kabisa. Magomvi ya wazazi ni kosa kubwa kuwahusisha watoto.

Yaani hapa inaonesha ni namna gani hii akili ilivyo fupi.

Maana hapo wanaoumia na kuathirika kisaikolojia wanaweza kuwa watoto zaidi ya huyo mwanaume.

Sijui watu malezi ya watoto wanayachukuliaje aseeeh
 
Mi nlikuwa najenga, nikamwacha asimamie mafundi wanafyatua matofali, daaaa wife katoa mifuko 40 akawaacha mafundi wajipimie akati nlimwambia asitoke, yeye akaenda kulala home, nikakuta wamefyatua tofali biskuit na mifuko kama nusu imetembea, nikamfuata anasema mi nimechoka nasikia usingiz tena kwa nyodo ananyayuka kutoka room, nikamfuata kwanyuma ile nataka nimzabe banzi moja heavy tokea nyuma, nikakumbuka usia wa baba yangu " ukiwa na hasira usichukue maamuzi yoyote, ondoka nenda mbali na huyo mtu na hasira zikiisha rudi muongee vizuri" sikumpiga ila nlimdharau hadi leo huwa nafanya mwenyewe kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo km mimi, nadharau mno... Huwa nashusha daraja
 
Back
Top Bottom