Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Naona umekomaa na uziNaam
Naona umekomaa na uziNaam
Am still waiting, when you are comfortable fanya hivyoNaona umekomaa na uzi
We kibokoHahahaa kuna siku kwenye ugomvi nikamwita mtu mse**ge
Daah nilikula bao sitasahau
Sasa ile hasira nikakaa nje hukoo yeye akalala akajua yameisha
Nikatafuta panga lilipo nikazama nalo chumbani
Nikamwamsha nalo
Aisee alikurupuka manake nilikuwa serious akajua namchinja kweli...
Toka siku ile nikimuudhi anajiondokea kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ugomvi wa wazazi kuuhamishia kwa watoto ni kuwakomoa watoto na kuwapa adhabu zisizostahili.
Dah sikujua km uwezo wa akili yako ndiyo umeishia hapa.
Wape watoto wako malezi bora kitabia, kiakili, kisaikolojia, kimwili na kiimani.
We ndo pumbafuuu kweli Sasa asipofika uzeeni, wewe mwanamke mpumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kile kipigo cha kitandani?Ukiacha fimbo za walimu mara ya mwisho nimepata kipigo nikiwa na miaka 15, Kutoka kwa mlezi, na mara ya mwisho nimepigwa nilijiapiza kuanzia leo sipigwi tena
Inauma asikwambie mtu.Hicho ndo kiliniliza wiki nzima eti, huna kosa halafu unakuziba kibao!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha tulipangisha mpigaji home yaani haipiti wiki kipigo kwa mkewe siku hiyo tunashangaa jamaa analia kama mtoto ndani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wapo dilishani wanauliza humo ndani kwema, mwanamke kimya,kumbe mwanaume kashikwa chini hafulukuti 😄😄😄😄😄
Mkwe sasa wewe shirt chassis unaanzaje kuchukua mwanamke mrefu🙆🙆🙆Ahahah kweli tuliposhauriwa tusitumie short chassis wahenga waliona mbali! Sasa umezingua umetiwa adabu unarusha stuli ya nini tena mzaa chema? Ulionewa?!
Yaani acha kabisa, kwa hasira zile ningepasuka mbona🙆🙆
Si mnajitia mna nguvu, basi mtapambana na vikombe na sahani.Ndio mnavyofungana mota hivi? Aisee Segerea kupo out of Capacity. Tusitaftiane sababu!
🤣🤣🤣🤣[emoji13][emoji13][emoji13][emoji17][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nilikasirika sana nikamshika nikabana mkono nikasikia tu "aiiiii", nikaachia, but I did regret.
Kofi sijawahi, ngumi sijawahi, nikikasirika natoka napunga upepo...
Wanasema like poles repel! Unlike poles attractMkwe sasa wewe shirt chassis unaanzaje kuchukua mwanamke mrefu🙆🙆🙆
Yes nilionewa.