Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Sijui ni vile malezi niliyolelewa au mazingira niliyokulia. Familia au ukoo niliozaliwa. Labda vile tumesoma dini sana tangu tukiwa wadogo tukifundishwa mwanamke hapigwi bali kwa upande wa khanga.

"sijawahi kuona kabisa mwanamke akipigwa"

Kwa maana nyengine sijawahi hata kuwaza kupiga, endapo mgogoro umetokea au kupishana kauli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbeeee wenzio wanatenguliwa mpaka viuno, nguo zinamvuka kisha kipigo cha mme

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo aina ya upigani kama ni ndoa nitaitundika juu ya mti mambo ya kudhalilishana hapana kabisa
 
ukizungumzia nature mkuu ni kwamba ni genetics ambayo ni lazma mwanamke awe chini ya mwanaume,but now the world/environment changed/shape us globally kitu ambacho sio uhalisia wetu,mwanaume abaki kuwa mwanaume tuachane na mambo ya magharibi ndo wametupeleka uku,mwanamke lazma apigwe ili nimshape nitakavyo,sitaki kuwa kama mzee adamu na bibi hawa
Mkuu napozungumzia nature namaanisha from the first time human beings were created

Mkuu amina nakwambia naturally mwanamke anasense of being dominated by his man

Kuna kitu kinavutia ukiona mwanaume wako anakudominate coz hiyo inaonesha utofauti kati yako na mwanaume wako pia kinaleta sense Fulani ya security kwamba una mtu ambaye anaweza kuput things under control

Lakini domination isiwe in the form of kupiga hapo narudi tena mkuu Big No

Unapompiga mwanamke haumkati ile kiu yake ya kuwa dominated badala yake unaibua sense of fear na kumfanya aishi na wewe kinafiki na kama ana asili ya vinyongo basi wafwa unatengeneza adui was kuishi naye chini ya bati moja

Kiufupi tu mkuu mwanaume halisi atamuweka mwanamke kwenye position yake just using brain na zawadi ya asili aliyopewa na Mungu ya kudominate mwanamke wake na sio kwa kumpiga

Never do that mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
are you married? mwanamke yapaswa awe vile mumewe apendavyo wazazi wetu walikua wanapishana umri mama anakua na umri mdogo na anakua amefundwa kwelikweli ,najua kumpata kama mama,bibi ni ngumu ila haya yote ni matokeo 50%,wanawake nao wanapiga vibaya waume zao ,ni hatari sana kufanya unavyosema Blue G
Naomba niiweke marital status yangu as private mkuu

Back to the topic

Kuna njia nyingi sana za kumshape mwanamke awe vile unataka

Coz tunaishi kwa ajili ya wenzetu

Wanawake wanaishi kwa ajili ya mwanaume na mwanaume the same

Kwa mantiki hiyo basi in rahisi sana kumchange mwanamke wako awe vile unataka sio kwa kumpiga

Kuna njia nyingi sana mkuu

Sifia kile kinakukosha roho yako akifanya puuza kabisa kile kinakukera assume hujaona kabisa kafanya kitu

Mfn unapenda nguo ndefu ye fupi maifie akivaa ndevu mpaka ajione amekuwa Cleopatra siku hiyo then aiku akivaa fupi muignore completely mkuu assume humwoni kabisa,kama anakupenda for real hii itamnyima amani na automatically tu atachange ili akukoshe wewe was ubavu wake

Hiyo njia moja tu zipo plenty tena za kisaikolojia na nyepesi sana mwanamke anakuwa vile unataka wewe na sio kwa mabao yako au migumi au fimbo zako

Ni kumhumiliate mkeo

Unacreat space kati yako na yake

You are the master and she the slave something that's not right at all

Unamwondolea pia sense of security and safety

Apigwe na kudhalilishwa home na huko nje je,atapendwa na kuwa spoiled na nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu napozungumzia nature namaanisha from the first time human beings were created

Mkuu amina nakwambia naturally mwanamke anasense of being dominated by his man

Kuna kitu kinavutia ukiona mwanaume wako anakudominate coz hiyo inaonesha utofauti kati yako na mwanaume wako pia kinaleta sense Fulani ya security kwamba una mtu ambaye anaweza kuput things under control

Lakini domination isiwe in the form of kupiga hapo narudi tena mkuu Big No

Unapompiga mwanamke haumkati ile kiu yake ya kuwa dominated badala yake unaibua sense of fear na kumfanya aishi na wewe kinafiki na kama ana asili ya vinyongo basi wafwa unatengeneza adui was kuishi naye chini ya bati moja

Kiufupi tu mkuu mwanaume halisi atamuweka mwanamke kwenye position yake just using brain na zawadi ya asili aliyopewa na Mungu ya kudominate mwanamke wake na sio kwa kumpiga

Never do that mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
well said,you are brave brother,!meet you in heaven
 
hili tatizo ni kubwa ila sidhani wa kulaumiwa si mwanaume peke yake kwa sababu sidhani kama mwanamke unaweza kupigwa tu bila sababu unless huyo mumeo hayuko timam.
 
Dawa yao ni kuchapa mixer makofi ili akili yake ikae Sawa wanazingua sana hawa viumbe
 
Back
Top Bottom