Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 4,045
- 6,959
Akinikera huwa simpigi huwa nawasha gari naenda kujipiga mwenyewe kwa kugida beers za kutosha.Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Sent using Jamii Forums mobile app
Akinikera huwa simpigi huwa nawasha gari naenda kujipiga mwenyewe kwa kugida beers za kutosha.Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Me nishawahi boss, ila now anajitambiua na me sikudhamiria kufanya hivyo , Just kihere here chake nikipiga napiga kama naua , .Mkuu mbona weye hujafunguka kuhusu suala hili?
Me nishawahi boss, ila now anajitambiua na me sikudhamiria kufanya hivyo , Just kihere here chake nikipiga napiga kama naua , .
Mi nilikuwa namwambia kuwa nitakupiga since january to dec, siku nilipombariki heshima imekaa mkao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangejua nidhamu ya uwoga,Asilimia kubwa ya wanawake wanao pigwa hasira zao huwa wanasaliti mahusiano yao kama kulipiza kisasi na mengine
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji849][emoji849][emoji849] stop usiendelee kuonge boss, .Wangejua nidhamu ya uwoga,Asilimia kubwa ya wanawake wanao pigwa hasira zao huwa wanasaliti mahusiano yao kama kulipiza kisasi na mengine
Wangejua nidhamu ya uwoga,Asilimia kubwa ya wanawake wanao pigwa hasira zao huwa wanasaliti mahusiano yao kama kulipiza kisasi na mengine
Kofi la mpenzi haliumi
Nakazia japo bado sijaoa.Hakika mkuu,watu wanafikiri kwenye ndoa tunapiga wanawake kisa mfumo dume,wanawake wanatofautiana sana,bila makofi wengine ndani mnaweza kuwekeana mpaka zamu ya kupika na kusafisha nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri sana na nikuombe umuombe msamaha kabla kisasi chake hakijakuamkia[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji849][emoji849][emoji849] stop usiendelee kuonge boss, .
Ngoja nifanye good deeds , then nimtoe out nizungumze nae kama ananiogopa ama ananiheshimiu.
Dah Leo nimejua kuwa kupiga hakusaidii kivileee japo kwa kiasi chake inasaidia.
Sipendi kuogopwa napenda kuheshimiwa .
Ahsante kwa kunifungua boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawachi kakujibu japo hiyo adhabu ni ndogo akikuadhibu hivyo ni kwamba amekuhurumia tu