Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Light Saber Imetosha Sasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
5,137
Reaction score
9,424
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??

MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?

Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh mimi ata kunyanyua mkono siwezi, sio kwa mke tu bali kwa mwanamke yeyote, Ntatumia njia nyingine lakini sio hiyo.

Makabila mengine yanaamini ukimpiga mwanamke ndio anakupenda zaidi, lakini me naona hii ni mila potofu

Ukiona mnafika hatua za kupigana kwenye ndoa, basi hamuijali miili yenu

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Mkuu naona umeamua kutudanganya waziwazi!

Its funny how people are pretending to be actors with no movie roles!
 
Back
Top Bottom