EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,512
Sidhani, ni mitazamo na hali halisi ilivyo. Hapa tunapiga 'swaga' tu.Tuolewe Mara ngapi au hadi watuoe wao? Kuna some retarded minds humu zinaaasume maisha ya kijima wanayoishi wao, ndo kila mtu anaishi hivyo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app