Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,977
- 54,107
Haswaa, halafu leo weekend babySio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa, halafu leo weekend babySio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Kuna MTU anasema anapenda kupigwa,,mana akishapigwa akatolewa ngeo ,ananunuliwa chips kuku
Lakini baada ya kibao now days akisema kitu mnaelewana mapema eeeh [emoji3]Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Halafu mnanifurahishaga yani mkishuhudia vipigo kwa mama, dada ama watoto wenu mnaumia sana mnafura kweli
Uwiii sasa huo ni zaid ya mkong'oto. Kibao sio lazima cha usoni lakini alitaka kumuharibu tu mwenzie reception [emoji85][emoji85]Acha kabisa Mrs Van! Kuna mrembo alipigwa kibao kimoja uso wote ukaamuka kama katia hamira. Macho yote yalivimba na ule upande alionaswa kibao kitakatifu damu kibao ilivilia jichoni. Alipoanza kupona akaanza kuhadithia hili la kupigwa hadi kuona nyota alidhani ni hadithi tu lakini kibao kile aliziona nyota nyingi tu.
Kindness is free sprinkle it everywhere.
With all due respect naomba nitofautiane na wewe kimtizamo, Hakuna anaependa kupiga labda awe na mkono mwepesi.Na hili ndilo nisilolitaka la kisirani cha kila wakati na mengineyo. Warembo wote hawa? Kama imeshindikana kuelewana kwa kukaa chini na kuzimaliza tofauti zetu kwa kuongea kipigo kitaongeza tu tatizo husika.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuliza mzukaHalafu mnanifurahishaga yani mkishuhudia vipigo kwa mama, dada ama watoto wenu mnaumia sana mnafura kweli
Mlitaka nitoe mapambio kuwa yanafurahisha? Kisasi kisasi,,,,, munikome
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh nilipokea kipigo cha mbwa koko kisa kutotoa ushirikiano kwenye mgegedo....me nilikua sijisikii mwenzangu anataka doooh mvua ya ngumi ilinyesha...pasuliwa sim ,vunjiwa saa,,yan nyang'anyang'a...na ela nkapewa juu....tukasolve yakaisha hatujakaa sawa nimetimba magetoni anaomba mzigo naleta kamgomo weeeee alitaka kunichoma na mkasi kabsa shingoni mweee yule kaka...tukaachanaga kwa nguvu ivo ivo.....mpka Leo naogopa ugomvi bora nikimbie nikiona hari ya hewa imechange au nijishushe mpaka apoe kuna watu wanahasira dunia hii cjapata ona....
am better here
Alikupapasa huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hawa wapuuzi huwa wanaona sifa kupiga wenzao, nilimkosa kosa na stuli.
Kushtua mwili mara moja moja
MmmhLakini baada ya kibao now days akisema kitu mnaelewana mapema eeeh [emoji3]
Yaani hiyo style aliyoitumia jamaa ndo fresh niki 1 tuu, afu hanyanyui tena mkono wake kukupiga
Cos kama kakupa hicho changuvu bado ukarudia yale yale kwa Mwanaume smart lazima aelewe hawez tenaa kukurekebisha kwa kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua umejisahaulisha hebu niambie tunaenda wapi kuburudika
Safi sanaAkinikera huwa simpigi huwa nawasha gari naenda kujipiga mwenyewe kwa kugida beers za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tukiachana na hao wanao jiuwa mada za kulalamika humu wao wanaongoza kuleta.Hawatujui
Nikuulize tu, kati ya wanaojiua kwa ajili ya mahusiano ni jinsia ipi inaongoza?
Sent using Jamii Forums mobile app
U r smart [emoji23][emoji23][emoji23]Akinipiga atakua amedhamiria maana nikishaona gia imepanda ad 3 nakaa kimya au nasepa kimya kimya
Sijawah kwakwel[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanashangaza sana mpenzi wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khantwe best una maswali
Una akili sana weweMmh mimi ata kunyanyua mkono siwezi, sio kwa mke tu bali kwa mwanamke yeyote, Ntatumia njia nyingine lakini sio hiyo.
Makabila mengine yanaamini ukimpiga mwanamke ndio anakupenda zaidi, lakini me naona hii ni mila potofu
Ukiona mnafika hatua za kupigana kwenye ndoa, basi hamuijali miili yenu
😀ont folo folo me wizout ene bikoz: