Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Yani untupie kikombe nitakushushia mfuweni hadi useme shikamoo baba! Dharau gani hio, means unakaidi utawala wangu ama kiburi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe kupiga wenzenu mnaona raha eeh! Unaonja the test of yo own medicine.

Wanaume wajinga ndio wanapiga wanawake as akili za kuishi nao wanakuwa hawana.
 
Back
Top Bottom