Mwanaume mpigaji huwa hapigi mara moja lazima aludie tu.
Hapana,
kwa mfano makundi ni sehemu mojawapo inayochangia sana wanawake kuzalisha migogoro katika ndoa zao.
Ikiwa alipata kibao kwa maana hiyo na akayaepuka makundi ya hovyo akajifunza na kubadilika hakika ugomvi unaweza usiuone kabisa sikunyingine katika maisha yenu.
Mara nyingi wanawake wasiopenda kujifunza na kuendekeza ubishi wameathiriwa na aidha;
1. Malezi mabovu ya baba kutokana na ulevi.
2. Ama baba yake mzazi alitangulia mbele ya haki mapema hivyo hakupata malezi ya baba yake.
3. Ama walitengana na mama yake akapata athari za kisaikolojia na akafunzwa na kuaminishwa ya hovyo na mama yake.
Otherwise mtoto aliyelelewa na baba na mama kwa malezi bora,
Ataelewa majukumu ya baba, ataelewa majukumu ya mama
Na baadae ataelewa majukumu ya mumewe na mwisho ataelewa majukumu ya mumewe na watazaa vizazi vyema.
Zamani watu walimuoa binti wasiemjua kwa kutazama sifa za baba yake. Kwa wenye akili hii wanajua maana yake.
Sent using
Jamii Forums mobile app