Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Na kweli sitorudia tena kunyanyua simu yake nimpe, ikiita huwa naiacha akaichukue mwenyewe!
Safi sana, lesson learned.... But the hard way
Na kweli sitorudia tena kunyanyua simu yake nimpe, ikiita huwa naiacha akaichukue mwenyewe!
Ninawiwa kukuheshimu kwa kuwa mkweli.Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Asa namwachacha sababu ya kibao ama?! Sikumwacha wala, ila nililia wiki nzima!
Chanzo ni simu yake iliita nikaifuata kumchukulia, kusoma jina linasomeka barafu wangu mie nikamwambia barafu wako anakupigia simu daaahhh nilisikia tuu kibao na kile kimotorola chake ninacho mkononii nikaona mbingu inatetema, nyota zoote ziko sebleni hatimaye nikadondoka chiini! Dk tano nzima sikuelewa nini kinaendelea kabisaaa nyota zikakoma machozi yakaanza sasa!
Sawa nimeshajiandaa njooC nakupelka upate tiba?
Nilipoa mama!
Ila wiki nzima nilikuwa ni kulia tuu! Nikiwaza likibao baasi hata hamu ya kula sinaaa
Daaah...Ninawiwa kukuheshimu kwa kuwa mkweli.
Lakini ninaamini kuna kitu ulikiona kile ambacho wanawake wengi hawajawahi kukiona.
Vipi ulijufunza kitu?
Au ulikengeuka zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mliaji maarufu!..Mdekaji wewe
AiseeeSafi sana, lesson learned.... But the hard way
Mwenyezi Mungu awajalie muda mrefu yenye furaha katika maisha yenu.Mimi mpaka leo sitakagi kuamini kile kibao kilitoka kwake!
Yeye mwenyewe aliumia mnoo! Kwanza kosa halikuwa langu nikapata kibao hichoo daaahhh!
Amen mkuu!Mwenyezi Mungu awajalie muda mrefu yenye furaha katika maisha yenu.
Siku zote ukupigao ndio ukufunzao
Sent using Jamii Forums mobile app
Si lazima ushuhudieSikuwahi kujua kumbe walio olewa wote wamepigwa ila kwa mama yangu sikuwahi kushuhudia hili.
Daaah...
Naweza kuwa nilijifunza pia! Maybe ningempa ile simu bila kusema chochote mpaka amalize labda ningepigwa!
Saivi kama kitu kinahitaji maelezo huwa namuacha aseme mwenyewe! Kitu ambacho naona kinamtesa sana hasa akishindwa kuanza kutoa maelezo, maana huwa siulizi na ananiona niko happy sijabadilika na siulizi!
Baki na mawazo yako sio lazima kuamini nilicho andika.Si lazima ushuhudie
Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
Aaargh, wewe unatuzingua bana! We ni SHEMALE? Au unatafuta attention ya Wadada tu humu? Acha upumbavu na hizo comments zako, Wanaume wa ukweli hatupo namna hiyo.Sema Sakayo we ni gud wife. Unaonekana mpole mwenyewe, infact i easily fond for cool girls/women na nishakuwaga nae mmoja. Sikuwahi kupata sababu ya kumpiga tho kuna mda tulipishana ila she was always cool ani ananuna tu. Namchekesha na kumbembeleza then we are good again.
Bad thing about wanawake wapole, they keep things inside!!! Sakayo utakuwa shamba darasa, kofi la first year hadi leo watoto wanakaribia kwenda secondary! Ha ha
Nina imani mnapendana sana leo au upendo uliisha?Wewe ulipata nguvu ya stuli, mimi niliona nyota koooote, nikakaa chini kama dk tano ndo machozi yakaanza kutoka!
Hapana jamaniii, na sifanyi hivyo makusudi! Hapendi kuulizwa ndo sababu ya kile kibao!Hayo ndo mateso makubwa aisee, kumkalia mtu kimya ambaye anajua umejua kosa lake.
Hapo mnatengeneza gap kubwa kwenye mahusiano yenu.
Na tunapendana kupita maelezo!
Sasa nakuzinguaje mkuu? Mbona utataAaargh, wewe unatuzingua bana! We ni SHEMALE? Au unatafuta attention ya Wadada tu humu? Acha upumbavu na hizo comments zako, Wanaume wa ukweli hatupo namna hiyo.
Hapana jamaniii, na sifanyi hivyo makusudi! Hapendi kuulizwa ndo sababu ya kile kibao!
Mimi nililiona hilo, akiona kuna sababu ya kutoa maelezo ni sawa! Wala siwezi mkasirikia sababu hajatoa maelezo!
Mimi ni mliaji maarufu!..
Ila na wewe mkuu, mikono yenu unaijua halafu nilikuwa sijajiandaa kabisaaa!