Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Na watu wa hivi pia ukute na ukiwajibu unawazidisha hasira ili mradi tafrani bora ujishushe kabla balaa lingine halijaamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sanaSitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Kwanza tukubaliane hamna mtu anayependa kumpiga mkewe labda kama wale wenye mkono wa kupiga kabisa kabisa.
Mimi maisha ya ujana haya sijawahi piga mwanamke akikosea ishu ya kupigwa, namuacha badala ya kumpiga.
Huyu mwanamke wa sasa ni mpole nikisema anasikia vizuri tu na kufuata maelekezo hivyo kusema kumpiga ni matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima na kufanya awe nunda.
Ila mpenzi wangu akiniuliza hivi ukinioa nikikuuzi sana utanipiga? namwambia ukweli kabisa tokea tumeanza mahusiano hujawahi fanya kitu kibaya mpk Nika lose control ila haimaanishi sitakuja kukupiga ukizingua.Kofi moja kubwa la nguvu litakuhusu.
Tukubaliane hapa 70% ya wanawake bila Kofi Moja kubwa la nguvu kwa mwaka mara Moja au mbili,ndoa nyingi zisingedumu.
Inafikiaga kipindi mwanamke aelewi kabisa hata ukijaribu kurudia rudia badooooo yaani anakuwa kama amekuzoea, anakudharau sasa zinapoanza dharau na makofi yanakuwa automatic tu yaani mkono unakuwa mwepesi tu.
Huwez kumuacha mwanamke au kupeleka kesi kwa wazazi eti mke wangu anisikilizi nisaidieni au eti mke wangu nikimwambia sipendi majibu ya dharau hataki kwahiyo namuacha khaaa lazima tutumie njia zote ya upole,ya serious,ya ukali, makofi ndo sasa yakuachana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikifikia kutaka kumnasa vibao MUPENZI ni bora kubwaga manyanga. Unaweza kujiharibia maisha for the rest of your life ukabaki na majuto mjukuu ukiwa lupango. Kibao paaaaaaaa! Mrembo kaanguka! Inuka inuka na wewe UMEUA bila kukusudia.
Rafiki yangu kipenzi pia alishuhudia kaka yake akimtandika mkewe kwa kuchelewa kurudi akiwa amelewa. Aliogopa sana alidhani Kaka yake kamuua mkewe kwa kipigo.
Haha yaani anaona aondoke alafu awaachie wengine mautamu bora akomae tuHakika mkuu nimebaki kumpa ushauri Vumilia tu
Mwenzako yupo home kwao kwa ujinga wa kujaribu kurudishia. Mnakua wajeuri kupitilizaYaani hawa wapuuzi huwa wanaona sifa kupiga wenzao, nilimkosa kosa na stuli.
Na mimi napendaga kukaa kimya sijibi kituNa watu wa hivi pia ukute na ukiwajibu unawazidisha hasira ili mradi tafrani bora ujishushe kabla balaa lingine halijaamka
Ila jamaa anajua kupiga mda mwengine best ana zimia, wazazi wamesuluhisha wamechoka.Haha yaani anaona aondoke alafu awaachie wengine mautamu bora akomae tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora uende lupango kuliko uliyempiga akiamua kukukabili km malipo ya kipigo ulichompa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakudunda kisha anaondoka bila hata kubembeleza wao wakikosa jeuri tu hakuna chanini walanini dawa yao kuwarushia vikombe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yaani hawa wapuuzi huwa wanaona sifa kupiga wenzao, nilimkosa kosa na stuli.
Njoo pm kwangu unifundishe ujanja
Aah huyo hafaiIla jamaa anajua kupiga mda mwengine best ana zimia, wazazi wamesuluhisha wamechoka.
Labda umuache, lakini tunazo njia nyingi za kuwakabili na kuvuruga maisha yenu yote na hasa tu kama umetujeruhi na bado mkaendelea kuishi na sie kwa kuamini umesamehewaHilo la kunikabili haliwezekani hata kwa sekunde moja, ila mapenzi yakifikia kumpiga unayempenda si penzi tena bali ni janga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa. Itabidi unikaribishe nifanye utalii wa ndani
Hakika mkuu,watu wanafikiri kwenye ndoa tunapiga wanawake kisa mfumo dume,wanawake wanatofautiana sana,bila makofi wengine ndani mnaweza kuwekeana mpaka zamu ya kupika na kusafisha nyumba.Hapo unapiga vibao vya nguvu vinne, unachukua shuka unajifunika unapiga usingizi mpaka asubuhi. Ukiamka unamsalimia asipo itika unaoga unachemsha chai yako unakunywa, unamuaga asipo itika unaenda job unarudi saa nne usiku umeshakula unatulia sebleni kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
We una visasi sana unaonekanaLabda umuache, lakini tunazo njia nyingi za kuwakabili na kuvuruga maisha yenu yote na hasa tu kama umetujeruhi na bado mkaendelea kuishi na sie kwa kuamini umesamehewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda umuache, lakini tunazo njia nyingi za kuwakabili na kuvuruga maisha yenu yote na hasa tu kama umetujeruhi na bado mkaendelea kuishi na sie kwa kuamini umesamehewa
Sent using Jamii Forums mobile app