Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Nina huruma sema nini nilikereka wakuu kule juu wanavyotamba kutoa dozi kwa wanawake zao,,, kama wana ubavu kweli watamke tambo hizo mbele ya wanawake zao

Kuna mmoja kasema anapiga na mwanamke anampigia goti asimuache( mi uniue labda, unipige na nipige goti kuomba nisiachwe)
Kabisa huyu anaweza kukuendea gym kabisa ili afanikishe ule mpango wa kukubana pumzi ukiwa usingizi asubuhi wanakuta umesha-RIP. Huyu kapeace sio sport kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na vipi kama sioni kosa langu bebi, bado natakiwa kusema samahani?
Hahah yani uzingue nikasirike kabisa halafu useme huoni kosa mpenzi wangu? Labda kama hunipendi! Hata hivyo sikasirikiagi mtu kirahisi yani ukiona nimekumaindi ujue umezingua sana na nilishakukanya!
 
Naam hilo ni ukweli kabisa wanakuwa sugu hawaogopi tena vipigo na kwa hasira zao hugawa papuchi kama pipi.
Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anastahili tuzo ya heshima
Nina huruma sema nini nilikereka wakuu kule juu wanavyotamba kutoa dozi kwa wanawake zao,,, kama wana ubavu kweli watamke tambo hizo mbele ya wanawake zao

Kuna mmoja kasema anapiga na mwanamke anampigia goti asimuache( mi uniue labda, unipige na nipige goti kuomba nisiachwe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Garadem it!
Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Mtoto anakua huku anajifunza kila kitu, sasa inabidi afundishwe na akatazwe mabaya lakini sio kwa makofi na fimbo
Wanangu wamekua kwa nidhamu na sijawahi kuwapiga
Na mwanamke pia hali kadhalika ila yeye kakua na anahitaji TLC

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hiyo ya kumwaga sumu kwa watoto ni mbaya sana. Hii ya kugawa papuchi nimeiona mara nyingi tu mke anasema nikirudi nitapigwa tu si bora niburudike tu maana kipigo siwezi kukikwepa.

Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha kuchepuka ni adhabu ndogo inatakiwa adhabu ya kumuumiza mtu mpaka aage shindano
Hiyo ya kumwaga sumu kwa watoto ni mbaya sana. Hii ya kugawa papuchi nimeiona mara nyingi tu mke anasema nikirudi nitapigwa tu si bora niburudike tu maana kipigo siwezi kukikwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba wabutuaji msome hapa ningewatag lakini sijui kutag

Yani akupige hivyo halafu umkatae halafu ajipige sumu,,, wanaume bhana wanachekesha
Niliokolewa. Na rafiake kaka alikua anapiga anaua yule dah anahasira balaa mpka anatetemeka nikamtema akaomba kurudi nikagomesha akanywa sumu....akaokolewaga na majirani zake aiseee mpka Leo tumebaki friends tu

am better here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??

MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?

Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaah!.. Zilipendwa hizo aysee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom