Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Ila hii ya kumwaga sumu kwa watoto siiafiki kabisa. Magomvi ya wazazi ni kosa kubwa kuwahusisha watoto.
Laiti tungeweza kurudisha kwa kuwapiga basi tungewarudishia vipigo lakini hatuna nguvu hizo, na hicho ndicho kinafanya unajengeka uadui mwisho wa siku adhabu zetu ni kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kugawa papuchi inakuwa ni kujikomoa mwenyewe

Adhabu kali huwa tunawajaza chuki watoto wenu na hii adhabu hufanya kazi uzeeni

Fatilia wazee waliokuwa wabutuaji wake zao enzi zao, na vile anavyoishi sasa kwa kunyanyapaliwa tena na wanae na mama yao.......inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah usije fanya hivyo mama
 
Hahah yani uzingue nikasirike kabisa halafu useme huoni kosa mpenzi wangu? Labda kama hunipendi! Hata hivyo sikasirikiagi mtu kirahisi yani ukiona nimekumaindi ujue umezingua sana na nilishakukanya!
[emoji16][emoji16][emoji16] kuna wakati inaweza kuwa misunderstanding tu mpenzi ila kiukweli nakuwa sijakosea chochote kwa hiyo linakuwa ni suala la kueleweshana tu. Nimeuliza hivi ni kwamba mimi ni mwepesi sana kuomba msamaha nikiona nimekosea ila sinaga samahani ya kutimiza wajibu, ile samahani ya funika kommbe mwanaharamu apite maana najua kesho anaweza kurudi tena kwa njia ile ile tena akiwa na marafiki zake.
 
Hilo ni kweli kabisa na ndiyo sababu mimi naona vipigo mara nyingi havimalizi tatizo bali huongeza.

Laiti tungeweza kurudisha kwa kuwapiga basi tungewarudishia vipigo lakini hatuna nguvu hizo, na hicho ndicho kinafanya unajengeka uadui mwisho wa siku adhabu zetu ni kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

Mtoto anakua huku anajifunza kila kitu, sasa inabidi afundishwe na akatazwe mabaya lakini sio kwa makofi na fimbo
Wanangu wamekua kwa nidhamu na sijawahi kuwapiga
Na mwanamke pia hali kadhalika ila yeye kakua na anahitaji TLC

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Naomba wabutuaji msome hapa ningewatag lakini sijui kutag

Yani akupige hivyo halafu umkatae halafu ajipige sumu,,, wanaume bhana wanachekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan nilichoka kwakweli kuna siku alinikimbiza barabarani nkalukia kwwnye daladala imagine nilisuka yebo fasta zilinyofoka kwa kuvutwa...ile naingia kwenye daladala nkakaa siti ya mwisho na hema hatari abiria wanaanza kuniuliza we vip unaumwa....baada ya kuokolewa ndo akanza kuwa Malaya sasa njunjana na mademu hatari kwa kisingizio alinipenda sana lkn me sikumpenda kwaio umalaya wake anasema mm nimesababisha....dah

am better here
 
Mi nlikuwa najenga, nikamwacha asimamie mafundi wanafyatua matofali, daaaa wife katoa mifuko 40 akawaacha mafundi wajipimie akati nlimwambia asitoke, yeye akaenda kulala home, nikakuta wamefyatua tofali biskuit na mifuko kama nusu imetembea, nikamfuata anasema mi nimechoka nasikia usingiz tena kwa nyodo ananyayuka kutoka room, nikamfuata kwanyuma ile nataka nimzabe banzi moja heavy tokea nyuma, nikakumbuka usia wa baba yangu " ukiwa na hasira usichukue maamuzi yoyote, ondoka nenda mbali na huyo mtu na hasira zikiisha rudi muongee vizuri" sikumpiga ila nlimdharau hadi leo huwa nafanya mwenyewe kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na apate ukimwi ili akukomoe vizuri,,

badala alie na tabia yake anakulaumu wewe tena!!!

Bora ulimuacha sio kwa sebene hilo
Yaaan nilichoka kwakweli kuna siku alinikimbiza barabarani nkalukia kwwnye daladala imagine nilisuka yebo fasta zilinyofoka kwa kuvutwa...ile naingia kwenye daladala nkakaa siti ya mwisho na hema hatari abiria wanaanza kuniuliza we vip unaumwa....baada ya kuokolewa ndo akanza kuwa Malaya sasa njunjana na mademu hatari kwa kisingizio alinipenda sana lkn me sikumpenda kwaio umalaya wake anasema mm nimesababisha....dah

am better here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam hilo ni ukweli kabisa wanakuwa sugu hawaogopi tena vipigo na kwa hasira zao hugawa papuchi kama pipi.
Baadhi ya wanaume wanazani kipigo kina tatua tatizo ukweli ni kwamba wanaongeza tatizo mara tatu,wazazi wetu inawezekana walipigwa ila wao hawakuishi katika mazingira kama yetu hakukuwa na vishawishi vingi
 
Mi nlikuwa najenga, nikamwacha asimamie mafundi wanafyatua matofali, daaaa wife katoa mifuko 40 akawaacha mafundi wajipimie akati nlimwambia asitoke, yeye akaenda kulala home, nikakuta wamefyatua tofali biskuit na mifuko kama nusu imetembea, nikamfuata anasema mi nimechoka nasikia usingiz tena kwa nyodo ananyayuka kutoka room, nikamfuata kwanyuma ile nataka nimzabe banzi moja heavy tokea nyuma, nikakumbuka usia wa baba yangu " ukiwa na hasira usichukue maamuzi yoyote, ondoka nenda mbali na huyo mtu na hasira zikiisha rudi muongee vizuri" sikumpiga ila nlimdharau hadi leo huwa nafanya mwenyewe kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hatari hii

am better here
 
Yaaan nilichoka kwakweli kuna siku alinikimbiza barabarani nkalukia kwwnye daladala imagine nilisuka yebo fasta zilinyofoka kwa kuvutwa...ile naingia kwenye daladala nkakaa siti ya mwisho na hema hatari abiria wanaanza kuniuliza we vip unaumwa....baada ya kuokolewa ndo akanza kuwa Malaya sasa njunjana na mademu hatari kwa kisingizio alinipenda sana lkn me sikumpenda kwaio umalaya wake anasema mm nimesababisha....dah

am better here
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Very good decision

Huyo wako historia yake hakuugua kweli aisee pole sana
 
Back
Top Bottom