mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,193
Haha mkuu ikifikia hapo naondoka eneo hilo kabisa nitarudi baadae upepo ukituliaUtashangaa pamoja na ukimya anakupiga singi kabisa huku anakupa kauli za kuchefua roho, "mwanaume utakuwa wewe bana, haya nipige sasa kama mwanaume kweli!"
Tulioanza kugawa makofi hatukuanza kirahisi ila ilibidi tu!