Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,143
- 9,438
- Thread starter
- #561
alafu chanzo si kingine ni mdomo boss, na kila nikimwambia nitampiga , kesho kwenye utani analichomeka kuwa kwetu sijawahi pigwa since nazaliwa ije kuwa wewe , Kidume nakaa kimya nlivyompiga hiyo juzi hajaamini ila nafsi inanisuta maana sikudhamiria ilitokea tuu ju alileta mdomo na majibu ya maudhi yenye kuamsha HasiraHicho ni kile tunaita kipigo kitakatifu!
Sent using Jamii Forums mobile app