Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Tumepapaswa tu wanaopigwa hasira walizonazo hata nguvu ya kutype hawana, tunawaambia madhara ya kupiga kuwasaidia nyie, vizazi na wanawake wenu huko mliko

Kwanza mtushukuru maana hatusemagi hizi mambo, mnaona tunacheka mnavimba vichwa mmetuweza na kutunyoosha lumbe ni kinyume
Kama khantwe na Kapeace nahisi wanakula vipondo sana tuu ila wanajifariji hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji870][emoji870]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto anakua huku anajifunza kila kitu, sasa inabidi afundishwe na akatazwe mabaya lakini sio kwa makofi na fimbo
Wanangu wamekua kwa nidhamu na sijawahi kuwapiga
Na mwanamke pia hali kadhalika ila yeye kakua na anahitaji TLC

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mnunulie tu afisa, mwanamke mwenye adabu ana deserve vingi sana dunia hii!
 
Back
Top Bottom