Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Duh! Pole sana ungeendelea na huyu angekutia kilema au angekuua.

Yaaan nilichoka kwakweli kuna siku alinikimbiza barabarani nkalukia kwwnye daladala imagine nilisuka yebo fasta zilinyofoka kwa kuvutwa...ile naingia kwenye daladala nkakaa siti ya mwisho na hema hatari abiria wanaanza kuniuliza we vip unaumwa....baada ya kuokolewa ndo akanza kuwa Malaya sasa njunjana na mademu hatari kwa kisingizio alinipenda sana lkn me sikumpenda kwaio umalaya wake anasema mm nimesababisha....dah

am better here
 
Baadhi ya wanaume wanazani kipigo kina tatua tatizo ukweli ni kwamba wanaongeza tatizo mara tatu,wazazi wetu inawezekana walipigwa ila wao hawakuishi katika mazingira kama yetu hakukuwa na vishawishi vingi
Hamna adhabu ngeni we mtoto

Hao wazazi wetu waliwaadhibu sana waume zao kwani huo mfano wa wazee wabutuaji nimeitolea wapi unadhani!!! Nimeushuhudia tena sio sehemu moja

Hao wabibi ndo wazazi wa zamani

Wabibi walichepuka kwa hasira na walizaa na kuleta watoto na hao wabutuaji walilea

Yanajulikanaga uzeeeni huko wabutuaji wakiwa hawana nguvu hizo tena za kufurukuta.......mwisho wa siku ni stress za uzeeni then kifo

Mwana si wako na umemlea na kumpa urithi ....utajikojolea


Ningewashauru kitu hawa wabutuaji lkn kwa viburi vyao ....sijihangaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto kumchapa muhimu
Mtoto ni pambo la nyumba kwa kweli
Unamchapa kwa kosa gani? Kisa kachana kochi? We umeweka wembe visible kwanini?
Kavunja glass unampiga ili iweje?
Kawa mtundu siku nzima unarudi nyumbani wife anakuambia na wewe unaanza kupiga, Big NO
Hapo mtoto kaboeka inabidi umtoe nje katembee nae mnunulie ice cream au kama kuna mpira kacheze nae hata garden
Kweli wengi huona last option ni kupiga tu lakini mimi huwa najizuia na qhadhabu zangu na kusema nikimpiga haelewi hata kosa halafu baadae eti unamuonea huruma na kesho anarudia tena
Inataka moyo sana kuwamudu watoto

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hamna adhabu ngeni we mtoto

Hao wazazi wetu waliwaadhibu sana waume zao kwani huo mfano wa wazee wabutuaji nimeitolea wapi unadhani!!! Nimeushuhudia tena sio sehemu moja

Hao wabibi ndo wazazi wa zamani

Wabibi walichepuka kwa hasira na walizaa na kuleta watoto na hao wabutuaji walilea

Yanajulikanaga uzeeeni huko wabutuaji wakiwa hawana nguvu hizo tena za kufurukuta.......mwisho wa siku ni stress za uzeeni then kifo

Mwana si wako na umemlea na kumpa urithi ....utajikojolea


Ningewashauru kitu hawa wabutuaji lkn kwa viburi vyao ....sijihangaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka mno mama hii comment yako hasa hapo Mwana si wako umempa urithi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtoto ni pambo la nyumba kwa kweli
Unamchapa kwa kosa gani? Kisa kachana kochi? We umeweka wembe visible kwanini?
Kavunja glass unampiga ili iweje?
Kawa mtundu siku nzima unarudi nyumbani wife anakuambia na wewe unaanza kupiga, Big NO
Hapo mtoto kaboeka inabidi umtoe nje katembee nae mnunulie ice cream au kama kuna mpira kacheze nae hata garden
Kweli wengi huona last option ni kupiga tu lakini mimi huwa najizuia na qhadhabu zangu na kusema nikimpiga haelewi hata kosa halafu baadae eti unamuonea huruma na kesho anarudia tena
Inataka moyo sana kuwamudu watoto

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mtoto akifikisha umri wa kuanzia miaka mitano anakuwa amenza kujua baya na zuri, kama amechana sofa unamchekea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We waone tu hapa wanavyoruka ruka kama maharage kwenye chungu

Nimewaambia waogope sana mwanamke aliyejeruhiwa halafu eti wanajifariji anakuheshimu mara kanyooka, siku hizi hali shwari adabu kama zote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka mno mama hii comment yako hasa hapo Mwana si wako umempa urithi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wametoa yao na wengine wanaendelea kutoa ya kwao , .
Mnazungumzia vipi watoto ambao wamekuzwa wakiwa wanapigwa , kutukanwa wanapokosea, wanapokuwa wakubwa ndoa/mahusiano yao yanakuwaje, . Yaani mzazi/mlezi hazungumzi mara mbili ya pili ni kipigo cha mbwa mwizi , kosa kidogo kipigo.

Watoto ambao wamekuzwa wakiona mama anapigwa , kwa makosa madogo madogo, Au hata bila kujua chanzo nini.


VYOTE TAJWA HAPO JUU HAVINA UHUSIANO NA WANAUME KUWAPIGA WENZA WAO??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanya hivyo mara moja ila naomba Mungu sana anisaidie nisirudie
Mimi huwa ni mpole na nina tabia ya kupuuzia vingi tupo out na Ex mmoja kanikuta nasalimiana na mke wa kaka yeye hamfahamu kasikia nimeitwa shemeji akaaza kuropoka kwa nguvu shemeji yako kwa nani anamuuliza mke wa kaka.
Kwa upole nikamwambia uwe unatulia utambulishwe kimdomo juu juu nilijikuta nimefunguka na Keleb moja kugeuka naona mtu kapaa juu ya vyungu vya maua kavunja hadi mlango wa kioo

Hamna kitu kinachukiza kama mwanamke mwenye makelele

Nashukuru Mungu nimepata mke mkimya hana makuu mtoto wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjawahi kukutana na wanawake jeuri nyie,utapiga mtu pasipo kutarajia.
Kabla sijaoa nilikuwa na mawazo kama yenu kwamba napigaje mtu mzima,wakati naweza kumwelewesha na akaelewa.
Nikaoa maisha yakaanza,baada kama mwaka mmoja tukapishana kidogo kwa maneno ya kujazwa na watu,narudi ndani nikiuliza kitu ananijibu dry tu,basi na mimi nakausha tu,kumbe akaona hiyo ya kunijibu dry akaona haijanitosha,siku moja nikarudi hajapika kabisa,kumuuliza akasema anaumwa,nikasema sawa nikaomba maji ya kuoga nikapanda kitandani kulala,baadye akatoka mdogomdogo kama yupo vile akaenda mtaa wa pili kula alikoenda kuna jamaa yangu akanitonya mbona shem yupo huku usiku wa saa nne au umesafiri?
Nikasema hapana nipo ila ameaga tu anakuja kucheki inshu flani hapo kwa rafiki yake(nikadanganya)
Ile anarudi karibia saa nne nikamuuliza umetoka wapi kimya,kama tano hv mtu yupo kimya na anafanya mambo yake as if hasikii kitu,sasa mtu kama huyo unamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimtunuku kelebu ngapi pasi na shaka, ni shoga pekee atakaefurahia treatment ya dharau kiwango hicho toka kwa mke aliemlipia mahari!
 
Kwahiyo hamna adhabu nyingine mbadala ya kumrekebisha mtu mpaka mpige?
Utashangaa pamoja na ukimya anakupiga singi kabisa huku anakupa kauli za kuchefua roho, "mwanaume utakuwa wewe bana, haya nipige sasa kama mwanaume kweli!"
Tulioanza kugawa makofi hatukuanza kirahisi ila ilibidi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We lile kofi nilihisi dunia yote inazunguka kichwani kwangu, alafu jitu limepanda na nguvu za kumpiga sina🙆🙆
Ikabidi ninyanyue stuli, asingekwepa sijui tu ingekuwaje.
Ahahah kweli tuliposhauriwa tusitumie short chassis wahenga waliona mbali! Sasa umezingua umetiwa adabu unarusha stuli ya nini tena mzaa chema? Ulionewa?!
 
Back
Top Bottom