Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 3,834
- 6,906
mwambie aache uchizi,yaani ukosee akupige kiss,mpige limbwata huyo hamnazo,unatakiwa uchezee mabanzi ili uwe na nidhamuPole mimi sweet wangu nikimkosea huwa hanipigi zaidi ya kiss mwili mzima na maneno matamu tunaombana msamaha yanakwisha.