Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Sio rahisi wakaelewa. Nashangaa watu wanavyolazimisha kuheshimiwa. Hivi tuseme tu kweli; wanaume wenyewe ndo huwa hawana maudhi, hawatukeri? Kumpiga mwanamke kills her self esteem na kwa kuwa wengi hawana nguvu za kurudishiw; wanabaki kujenga visasi.

Afu hata abusers nao huwa wanaanza hivi hivi in the name of disciplining their wives. Wao wanaume ndo huwa wana adabu sana au? Washindweee
Best nasubiri maoni yako labla vidume watakuelewa.
Hongera zao na hao wanawake who settle for this nonsense. Watu wazima tuanze kutiana ulemavu wa uzeeni, kisa???? Kuna malaika huko kwenye ndoa ambaye hakosei?
[emoji23][emoji23][emoji23] tuseme nini sasa, watu wanatukuza kupigana utadhani wakipiga mtu wanapata hela mxiieeww
 
Sio rahisi wakaelewa. Nashangaa watu wanavyolazimisha kuheshimiwa. Hivi tuseme tu kweli; wanaume wenyewe ndo huwa hawana maudhi, hawatukeri? Kumpiga mwanamke kills her self esteem na kwa kuwa wengi hawana nguvu za kurudishiw; wanabaki kujenga visasi.

Afu hata abusers nao huwa wanaanza hivi hivi in the name of disciplining their wives. Wao wanaume ndo huwa wana adabu sana au? WashindweeeHongera zao na hao wanawake who settle for this nonsense. Watu wazima tuanze kutiana ulemavu wa uzeeni, kisa???? Kuna malaika huko kwenye ndoa ambaye hakosei?
Hahaha ngoja waje watakuambia OLEWA KWANZA..!
 
Ila wanaume wengi huwa wanatia huruma uzeeni; watoto busy na mama zao. Though hiyo ya kuwalisha sumu watoto against baba yao sio njema; sasa wapo wale wazee ambao ujana wao waliuinvest kwenye michepuko na marafiki, hakuna muda na watoto. Wanatia huruma uzeeni jamani
Watavuna jeuri nimewagusia adhabu ya uzeeni wameruka km wameona koboko



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom