Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Kama mchepuko ankufwata bar na nduguzake uwanunulie beer,kinachofwata nikumuita pembeni tu unamchapa vibao viwili alaf unawachia manyoya.
Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Eti bebi waambie kuwa hujawahi na hutowahi kunipigaHajawahi kupigwa mtoto mzuri huyu, sio korofi!
Inaonesha kiwango cha ukomavu zaidi kama mkieleweshana kwa njia za amani! Ila uki impose utoto utakula makofi kama kawaida.
Ni kawaida,ukiona unapigwa ni ishara ya wivu fulani unaoashiria mapenzi aliyonayo kwako.Daaah
Na mie nampenda sana, ila sijawahi waza kumpiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutomgusa ila utampigaKiukweli Mke wangu mpenzi kokote ulipo sintokupiga asilani. Ntakukumbusha tu kuwa upumbavu sitaki ila kama mnavyojua hii story ni ya kugusa sana kwahio ntamgusa inapobidi!
Nina imani hatorudia tenaHahaha hahaha
Nililia wiki nzima!! Kila nikikumbuka nalia tuu! Daaah lile likibao hapanaaaaa
AiseeeNi kawaida,ukiona unapigwa ni ishara ya wivu fulani unaoashiria mapenzi aliyonayo kwako.
Mtu mzima kwa nini asielewe? Ukimpiga ndio ataelewa sasa?
Na kweli sitorudia tena kunyanyua simu yake nimpe, ikiita huwa naiacha akaichukue mwenyewe!Nina imani hatorudia tena
ha ha ha ha,baada ya kupigwa ulifanyaje?Aiseee
Lile likibao sio la kawaida mkuu! Kama hayo ndo mapenzi mmmh
Sema Sakayo we ni gud wife. Unaonekana mpole mwenyewe, infact i easily fond for cool girls/women na nishakuwaga nae mmoja. Sikuwahi kupata sababu ya kumpiga tho kuna mda tulipishana ila she was always cool yani ananuna tu. Namchekesha na kumbembeleza then we are good again.Hahaha hahaha
Nililia wiki nzima!! Kila nikikumbuka nalia tuu! Daaah lile likibao hapanaaaaa
Haha as if kipigo ni tendo la ndoa kwamba kila mwanandoa lazima apataHapo ndo wanawake tunakosea eti olewa unambie!! Mtanyanyasika sana habari za kuhalalisha kipigo....mi wangu hanipigi na nishakataa huo ujinga
Wapasue boss wapasue, hadi siku muanze kupasuanaMi ndo udhaifu wangu huo wajameni huwa nawapasuaga sana wakizingua aisee sometime wanatia hasira unavumilia mpaka uvumilivu unapita kikomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo wanawake tunakosea eti olewa unambie!! Mtanyanyasika sana habari za kuhalalisha kipigo....mi wangu hanipigi na nishakataa huo ujinga
Mkuu sijadanganya.. [emoji5]
Its funny to see people are lying, just because they say something that is out of how you behave
😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Akaanza kukuomba msamaha , Basi ukavimba haukumsamehe siku hiyo .Wewe ulipata nguvu ya stuli, mimi niliona nyota koooote, nikakaa chini kama dk tano ndo machozi yakaanza kutoka!