Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

https://gulfnews.com/world/asia/pak...o-dance-remanded-to-police-custody-1.62964667

Dubai: Pakistan husband and his friend who is accused of beating his wife and shaving her head, have been handed over to the police on four-day physical remand a day after their arrests.
According to Lahore police, the two accused were into custody after Asma Azi alleged in a video message that her husband beat her and shaved her head for refusing to dance in front of his friend.
 
Haha na mbinu zako za kimafia

Mimi sipendi mtu anayeongea muda mrefu, nikiwa na mtu ambaye kosa likifanyika tunamalizana papo kwa papo tunaendelea mbele.

Ingawa mimi sipigagi kabisa, huwa nikiwa na hasira kubwa machozi yananitoka tu, naumia sana sana moyoni. Nikishaanza kunywa maji na jasho likinitoka, kesi imeisha.

Ila haihusiani na nikijua amesaliti, maana sina dictionary ya neno kusalitiwa.
 
Mimi sipendi mtu anayeongea muda mrefu, nikiwa na mtu ambaye kosa likifanyika tunamalizana papo kwa papo tunaendelea mbele.

Ingawa mimi sipigagi kabisa, huwa nikiwa na hasira kubwa machozi yananitoka tu, naumia sana sana moyoni. Nikishaanza kunywa maji na jasho likinitoka, kesi imeisha.

Ila haihusiani na nikijua amesaliti, maana sina dictionary ya neno kusalitiwa.
Hahaha kwa hiyo msamiati wa kusalitiwa wewe huujui? Itakuwa ni vyema kama wewe pia sio msaliti
 
nilimwambia siwezi kukupiga ila siku nikikupiga ujue utakuwa nusu marehemu coz hasira zangu zinanifanya nishindwe kuongea na kifua kinabana mpk nashindwa kupumua, nikifikia hatua hiyo nahisi nitakuwa nashusha makonde kama yakimakonde bila kusema chochote huku majirani wakisoma historia ya marehemu mtarajiwa.
 
Ndo jeuri yao sasa unadhani wabutuaji wanaotamba na kujisifia vipigo km haki yao unawafanyaje hao!!!!
Japo nina uhakika hizi tambo wanatype humu tu live hawawezi zisema kwa wake zao

Ujeuri ndo ishara ya mwanaume imara,,,,sasa dawa yao ni hiyo na hawachukuagi round wanaaga shindano

Uzee + stress = kifo

Acha washupaze shingo zao
Ila wanaume wengi huwa wanatia huruma uzeeni; watoto busy na mama zao. Though hiyo ya kuwalisha sumu watoto against baba yao sio njema; sasa wapo wale wazee ambao ujana wao waliuinvest kwenye michepuko na marafiki, hakuna muda na watoto. Wanatia huruma uzeeni jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe
C.c @espy
Ndo jeuri yao sasa unadhani wabutuaji wanaotamba na kujisifia vipigo km haki yao unawafanyaje hao!!!!
Japo nina uhakika hizi tambo wanatype humu tu live hawawezi zisema kwa wake zao

Ujeuri ndo ishara ya mwanaume imara,,,,sasa dawa yao ni hiyo na hawachukuagi round wanaaga shindano

Uzee + stress = kifo

Acha washupaze shingo zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kukesha nao

Mjadala wa kusaliti hamuumalizi huo

Mi nakwambia wananifurahisha hawa viumbe

Halafu nimegundua wanatuchukulia poa,,,wangejua nini uwezo wetu tukifika mwisho.....mwenye macho na wasome hapa wabadilike vinginevyo wajiandae kwa uzee mchungu
Hahaha kwa hiyo msamiati wa kusalitiwa wewe huujui? Itakuwa ni vyema kama wewe pia sio msaliti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kukesha nao

Mjadala wa kusaliti hamuumalizi huo

Mi nakwambia wananifurahisha hawa viumbe

Halafu nimegundua wanatuchukulia poa,,,wangejua nini uwezo wetu tukifika mwisho.....mwenye macho na wasome hapa wabadilike vinginevyo wajiandae kwa uzee mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli huu mjadala wa usaliti hauwezi kuisha wacha nilale
 
Mke akutoka miguuni mwa mwanaume ili adharauliwe Wala hakutoka kichwani kwa mwanaume ili mwanaume ajisifu ana akili sana bali mke alitoka ubavuni mwa mwanaume!! Na Kama tunavyojua kuwa mbavu imepinda hata mke nae Kuna mahali anapinda (anakosea) haipaswi kutumia mabavu sijui kupiga au kumtukana haisaidii kitu zaidi huo ubavu utavunjika au utakuwa sugu tu... Kikubwa mazungumzo tu yaan muweke chini mueleze taratibu kwa upole na msisitizo hujapendezwa na hiki na kile ila kama Kuna ulazima sana sana wa kumpiga bhas chukua kanga yake kunja mpige nayo...!!!

Typed Using KIDOLE
 
Vipi mkuu hautamani kuacha,alafu kitu kingine huwa siwezi kununa boss, ani hata afanye nini kesho nikiamka as usual Namtakia asubuhi njema , au nampigia aamkeN mchana mwema , namuuliza kama amekula, jioni the same, .
Mkuu kingine sinaga tabia ya kusubiri kesho au baadae akizingua namfungukia mda huo huo ,.

We have something in common Boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Thats indeed my MO! Exactly!
 
Amna hakua mnyaki alikua wa mpanda uko mgomvi tokea utotoni...tatizo sex za mtu anae vuta bangi hamalizi mapema akipanda kushuka sahau me nilikua siendani nae maana alikua mkubwa kwangu kwaio likija swala la sex naona ni adhabu badala ya kuenjoy....he he be yaaan kwakweli mpka Leo ata mtu akiongea kwa ukali namuogopa...

am better here
Duh, wanasemaga mwanaume akiwazidi age mnakuwa mnatulia sana ila huyo inaonesha alikuwa anakuogofya kabisa design oversize!!! Af muhuni mvuta bangi ulimpendea nini sasa yani nyie wanawake akili zenu bana!
Njoo kwangu mi naongea kwa upole kama Bw. Reginald Machache hutojutia.
 
Nimekua muumini mkubwa sana wa kutopenda kupiga wanawake na nilikua sijawahi kupiga mwanamke maishani mwangu. Kuna siku nimetibuana na wife basi anaongea kama radio sio chumbani,sebuleni wala uani,ilifika point nikamwambia afunge mdomo tu yaishe lakini wapi. The weird thing akanikunja shati kwa shingo huku maneno yanamtoka tu ,alikula kofi moja la hatari sana mpaka alikaa chini.

Sometimes wanawake wana push beyond limit za uvumilivu wa wanaume wapole kama mimi kupokea maneno mabaya,hapo tena mtu funguo kaweka kwenye chupi yani huwezi hata kutoka kuepuka shari,hapo ndipo vinatokea vipigo vya kimazingira . Ila kwa wale wapigaji ambao mpaka wife akikosea kitu anajiandaa kwa kipigo kabla husband hajafika home hii sio sawa hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio kama mie kabisa, mi very cool guy ila shida ni uvumilivu wa kauli za kishenzi na za kukarahisha maskioni ndio sina. Yani ntamwambia bby basi kauka, nyamaza mara kadhaa akiendelea kuporomosha mineno ya kipuuzi litafata bao hilo hataamini!!!
 
Me binafsi sikuwai piga mwanamke wala gombeza hadi nilipokutana na huyu mpare mwanamke ana hisia za ajabu na wivu yani anaweza singizia kaniona sehemu na mwanamke wakati ni

Kuna siku tupo night club kamwona mwanamke ananikata jicho acha aanze nitongozea mixer anamnunulia vinywaji nikaona hizi dharau.

Tupo kwenye gari bado anaongea upuuzi, Nikajua pombe ile tumeingia tu chumbani akaniuma mkono, Siku hiyo nilitaka ndio iwe mwisho wa mapenzi nilimpiga ili hata akiwa anakumbuka ajue kuna mwanaume ashanidundaa, Ngumi, makofi, mikanda hadi police jamiii kuja ingilia ndio kuwaambia huyu muuaji hao hadi urafiki nimelala ndani akaja futa case mwenyewe na mapenzi yakaendelea.
Wanawake kuna vitu wanafanya vinatusukuma kufanya unyama.....
 
Back
Top Bottom