Je,umeshawahi kuhisiwa vibaya?

Je,umeshawahi kuhisiwa vibaya?

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Heshima mbele wadau,ni hivi tulikuwa tukikaa katika apartment moja watu watatu,mara mmoja wetu akapata mwanamke tukawa wanne,kuna siku jamaa aliyekuwa akikaa na mwanamke aliibiwa hela mule ndani,basi akaitisha kikao na kutwambia kuwa amepotelewa na fedha zake mule ndani,binafsi kwa kuwa nilikuwa sio muibaji haikuniuma sana,kumbe jamaa mwenye mwanamke alikuwa akinihisi ni mimi kuwa ndiye niliyemuibia kwa kuwa nilikuwa bado sijaanza kazi,baada ya Muda M/mungu akaleta shani zake nikapata kazi mbali kidogo na pale nilipokuwa nikiishi na kuhamia huko karibu na nilikopata kazi.Haikupita miezi miwili yule jamaa akaibiwa tena,ndipo alipoona ya kwamba hakunitendea haki kwa kunidhania mara ya kwanza kwamba mimi ndiye niliyemuibia ndipo aliponiita na kuniomba samahani kwa dhana yake mbaya juu yangu.Kwa kweli mwili ulikufa ganzi baada ya kumsikia jamaa akinitamkia kwamba alikuwa akidhania mimi ndiye mwizi wake ilhali sio mimi niliyemuibia na ni kipindi kirefu alikuwa yuko nami huku akinichekea jino pembeni na kunidhania mabaya.NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YAKE HII.
Je,umeshawahi kuhisiwa mabaya ambayo hujayafanya?
Nalog off
 
Kawaida tu mkuu usiogope. Japo inaweza isiwe suala la pesa na likawa suala jingine. Na unaweza ujue ama usijue pia kama wahisiwa vipi..
Kuwa na amani mkuu.
 
Kawaida tu mkuu usiogope. Japo inaweza isiwe suala la pesa na likawa suala jingine. Na unaweza ujue ama usijue pia kama wahisiwa vipi..
Kuwa na amani mkuu.
ni kweli kabisa kiongozi,nashukuru kwa majibu yako.
Nalog off
 
Tena shkuru Mungu still dhana yake ilikua ktk primary stage , kuna siku angekuja weka dhana unamgegeda mkewe!
kweli kabisa kaka,nafikiri pangekuwa hapatoshi mule ndani.
Nalog off
 
Pia watu wa philosophy wanasema anythin whether bad or good , accept it !
Ila baya linakwenda na solution .
Resently i have learned the true meanin of acceptance any tukio!
Liwe la kiukweli au la kuzushiwa.
I never in all my life thought i was goin to experience certain emotions , and be dealin with confusin situation as i'm doin right nw.
You see baadhi ya wakati you're an obsever of other people's lives , and you'll never experience what they are livin , whether it be postv or negtv situation , that will never happen to you !
 
Niliwahi kuhisiwa kumbebesha mtu mimba wakati hata ndani kwake sikuwahi kupaona......
 
Niliwahi kuhisiwa kumbebesha mtu mimba wakati hata ndani kwake sikuwahi kupaona......

Hisio la hivi walau halijakaa kifedhehafedheha!
Kwanza lina announce urijali "cha'mbegu" TANMO mi nisingehuzunika!
 
Last edited by a moderator:
Kuhisiwa na kusingiziwa......aaaaahh nishazoea mie. Mwanzoni nilikuwaga naumia ila sasa hivi nishaona kawaida tu!
 
Pia watu wa philosophy wanasema anythin whether bad or good , accept it !
Ila baya linakwenda na solution .
Resently i have learned the true meanin of acceptance any tukio!
Liwe la kiukweli au la kuzushiwa.
I never in all my life thought i was goin to experience certain emotions , and be dealin with confusin situation as i'm doin right nw.
You see baadhi ya wakati you're an obsever of other people's lives , and you'll never experience what they are livin , whether it be postv or negtv situation , that will never happen to you !
Ni kweli kabisa ila sometime abari nyengine inakushtua sana kwa kuwa hukutegemea kusikia habari kama hiyo kutoka kwa mtu kama huyo,ila ndio hivyo unaishia kukubali tu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom