Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
- #41
poleni sana kina mama.Kwa wanawake kuhisiwa vibaya ni kama jambo lisilo geni....
"Mara umeiba mume wa mtu"
"Mara umetoka na boss"
Maneno chungu mzima, kabla sijajitambua nilikuwa naumia sana ila baada ya kujitambua....aaaaah naona kama ndo maisha!
Nalog off