Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
- #21
Pole sana kaka inauma sana unajua.Niliwahi kuhisiwa kumbebesha mtu mimba wakati hata ndani kwake sikuwahi kupaona......
Nalog off
Pole sana kaka inauma sana unajua.Niliwahi kuhisiwa kumbebesha mtu mimba wakati hata ndani kwake sikuwahi kupaona......
Pole sana bi dada.Huwa nahisiwa hadi najisikia vibaya.
bora wewe ulivyozoea bi dada.Kuhisiwa na kusingiziwa......aaaaahh nishazoea mie. Mwanzoni nilikuwaga naumia ila sasa hivi nishaona kawaida tu!
Afadhali kwako halijakukuta balaa.nimewahi kuhisiwa na ibiwa kumbe niko ndani ...
ungemuibia au ungemtoza faini?aisee nisingemsamehe kama ni mimi
Huwa nahisiwa hadi najisikia vibaya.
Dah! hahahahaha muhurumie mwenzio.Acha ujanjaujanja! Unahisiwaga nini! Au unahisiwa unasosoa sahani moko na Sarima Jeikei? Ndo maana huweki wazi!
Du kuhisiwa kuhisiwa ni
kubaya sana na huwezi kumzuia mtu kukuhisi vibaya. ......mimi
nilishawahi kuhisiwa kitu kibays sana kwenye maidha yangu.ndugu yangu
aligundullika an Hiv +ve wakati huo ana watoto umri miaka 5na 2 akataka
kujiua na watoto nikamtia moyo sana then nikawachukua watoto nikawalea
kwa miaka 13 yule mkubwa akawa form 3 mzazi akafurahi akiwa likizo ajawa
anaenda kwa mzazi wake .lahaula likizo ya june akafunga shule akaenda
kwa mzazi wake na alipobakiza siku saba akarudi kwangu kujiandaa kurudi
shuleni ana mahitaji yote ya shule naahela nyingine ziko kwenye account
yake ys benk.lahaula ilipobaki siku moja aende shule akajinyonga
chumbani kwake. Akawa amemtumia mzazi wake ujumbe mimi ninakuaga ngoja
niwaache wafurahie wasikasirike na bajeti yao iende sawa.
Ndugu waliofika kwenye kilio walikuwa wanafowardiana ile mesegi
wananiteta na mwisho kabisa wakafanya sala ndani mwangu wakisema MUngu
mjalie huyu mama awe na maneno ya busara ya kuongea na watu walioko hapa
nyumbani kwake
Baada ya wiki moja mdogo wake marehemu akaja kumwambia mzazi wake kuwa
alishaamuona marehemu akikoroga sumu na alipomkuta anataka kunywa
alimbembeleza asimwambie mzazi maana alitaka kufa kwa vile amechoka
kumeza ARVs.
Walokuwa wamebeza waliona aibu wakaanza
Tukiwa watoto hizi mambo ndio
zilikuwa zinatukuta sana huko ushagoo kwetu...
Maza akipiga hesabu ya finyango halafu aone kuna mushkeli lazima akuite
halafu unachezea stiki zisizo na idadi...
Ayaaa baadaye ndio mnakuja kugundua ni Paka ndiye aliyejitwalia na
finyango kadhaa...hapo mzee mzima stiki ulishakula kifuatacho itvvvv ni
mihasira yote unaimalizia kwa kutoa kichapo hevi kwa paka jizi.
Kuna mtu aliweka thread hapa kuwa kahisiwa ni mwizi wa mfukoni kwenye daladala. Iliniogopesha sana.
Du kuhisiwa kuhisiwa ni kubaya sana na huwezi kumzuia mtu kukuhisi vibaya. ......mimi nilishawahi kuhisiwa kitu kibays sana kwenye maidha yangu.ndugu yangu aligundullika an Hiv +ve wakati huo ana watoto umri miaka 5na 2 akataka kujiua na watoto nikamtia moyo sana then nikawachukua watoto nikawalea kwa miaka 13 yule mkubwa akawa form 3 mzazi akafurahi akiwa likizo ajawa anaenda kwa mzazi wake .lahaula likizo ya june akafunga shule akaenda kwa mzazi wake na alipobakiza siku saba akarudi kwangu kujiandaa kurudi shuleni ana mahitaji yote ya shule naahela nyingine ziko kwenye account yake ys benk.lahaula ilipobaki siku moja aende shule akajinyonga chumbani kwake. Akawa amemtumia mzazi wake ujumbe mimi ninakuaga ngoja niwaache wafurahie wasikasirike na bajeti yao iende sawa.
Ndugu waliofika kwenye kilio walikuwa wanafowardiana ile mesegi wananiteta na mwisho kabisa wakafanya sala ndani mwangu wakisema MUngu mjalie huyu mama awe na maneno ya busara ya kuongea na watu walioko hapa nyumbani kwake
Baada ya wiki moja mdogo wake marehemu akaja kumwambia mzazi wake kuwa alishaamuona marehemu akikoroga sumu na alipomkuta anataka kunywa alimbembeleza asimwambie mzazi maana alitaka kufa kwa vile amechoka kumeza ARVs.
Walokuwa wamebeza waliona aibu wakaanza
lazima akili ikuruke.Kuna mtu aliweka thread hapa kuwa kahisiwa ni mwizi wa mfukoni kwenye daladala. Iliniogopesha sana.
pole sana bi dada,Mungu atakulipia.Nimeshawahi kuhisiwa mara nyingi, inauma sana, tena inauma iwapo mtu aliyekuhisi na unavyomchukulia ni vitu viwili tofauti, inauma sana, mara ya kwanza nilikuwa nalia sana, nashindwa hata kula, lakini muda unavyozidi kwenda nashukuru nimezoea kidogo japo sio sana, huwa naamini ipo siku uongo na ukweli vitajitenga kila kitu kitakuwa sawa Mungu yupo. INAUMA SANA.
Kwa sasa najifariji kupitia JF km hivi.
NB. Haya yote yanatokana na mtu mmoja tu sijajua nia yake ni mbaya au nzuri ila Mungu ndo anajua na ana makusudi yake kunipitisha katika haya