Mimi nimeshuhudia matukio mengi sana ila nisimulie hili moja,
Ilikuwa tupo boarding school mida ya jioni tunacheza mpira Shule ya serikali enzi hizo ilikuwa changanyiko boys na girls. Mara mvua kunyesha wale watazamaji wakakimbilia mabwenini Wazee wa soka tukaendelea kupiga soka na mvua.
Mara mpira ukatoka nje had kwenye banda la ng'ombe wa shule mimi nikaenda kuokota, kumbe kuna mshkaji alitumia ile fursa ya kwenda kumkaza binti kwakuwa watu walikimbilia mabwenini wao walijibana kwenye lile zizi.
Mungu fundi, mpira uliangukia palepale miguuni kwa jamaa alikuwa amemwinamisha anapiga mashine. Nikauokota mpira huku jamaa akiendelea kupump. Yule binti alikuwa ananionea aibu hadi anamaliza shule.